Hongera CCM kwa kuiletea maendeleo haya ARUSHA

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,292
7,147

MIAKA 50 YA UHURU:
Watoto na wazazi wa Kijiji cha Oliipil, Loliondo mkoani Arusha wakisubiri wauguzi na madaktari kutoka Hospitali ya Wasso kwa ajili ya kliniki. Jengo linaloonekana ndiyo zahanati na kliniki ya kijiji hicho. Picha hii ilipigwa na Manyerere Jackton wiki iliyopita.

Take this:'Bila ccm hata nguo tusingekuwa nazo yatupasa tuishukuru'Mwenyekiti wa CCM Kisarawe
 
Mh,umetoka mbali na wewe,...
Merytina
marytina
.......
......
......
martina,....
i cant imagine the next BAN utakuja na jina gani
 
That is the best ccm can do! Halafu mawaziri wametumwa waende wakawaeleze maendeleo ambayo serikali yao imefanya. Haya ndio maendeleo yenyewe! Hao ni watoto, wazazi wao watakuwa wamevaa t-shirt za kijani au njano na zimeandikwa "chagua ccm, chagua Mkapa!". Safari bado ni ndefu.
 
Back
Top Bottom