Hongera Bw. Nestory Ngula

Sep 20, 2007
69
2
Nikiwa mmoja wa Beneficiaries, Napenda kuchukua Nafasi hii kumpongeza kiongozi wetu wa TUCTA bwana Nestory Ngula kwa kazi nzuri aliyoifanya. Mimi binafsi nilikuwa naidai serikali malimbikizo ya pesa ambayo yanafika kama Tsh 3m. Nilisha kata tamaa kama nitapata hizo pesa, maana nilisha kwenda hazina na utumishi hadi viatu pea 3 vikaisha soli.

Leo nimepita pale bank, nimekuta a/c yangu imefurika. Natumaini watumishi wote wa umma wataungana nani kumpongeza kiongozi watu shujaa, ambaye amekuwa akitutetea bila woga na kwa moyo wa upendo na ujasiri.

Bravo Bw. Ngura. Keep it up.
 
Bw. Mogan Tsvangirai Rais wa MDC huko Zimbabwe alikuwa kama Ngulla (kiongozi wa wafanyakazi) sasa anaikomboa Zimbabwe kutoka kwa mkoloni genius Robert Matibili Mugabe. Big up Nestory.
 
Mishaharaaa imetoka kwa mafungu tangu jana asubuhi....foleni kubwa zimekuwa zikionekana kwenye matawi mengi ya nmb dar hii
 
Back
Top Bottom