Honey ana miguu?

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Mwanafunzi alamuuliza mwl wake hivi honey ina miguu? mwl akamjibu haina nani kakwambia? mwanafunzi akamjibu kila mara namsikia baba usiku mwingi akisema honey nyanyua miguu. Mwl akashikwa na butwaa.
 
sawa sawa na yule mwanafunzi mngine alienda kumuona huyo huyo mwalimu nakumwambia kua mama yake kamuiba basikeli. Mwalumu akauliza: unajuaje kua ni mama yako ndie aliiba? Mwanafunzi akajibu: jana mchana nilipoteza basikeli, usiku nilimsikia mama akimwambia baba: njoo kwa nyuma nishike kiunoni. ikisimama tu, panda...
 
NA Wasiwasi huyu huyu Mtoto NDio aliharibu haya..

Nyumba siku ilijaa wakwe wa Baba mmoja na Wazazi wake na wengine familia kwenye meza ya kula.. ikaja Mada ya kuogopa kulala peke yake mtoto wa Shangazi mmoja.. Katoto cha nyumba ya yule baba akarukia MIE SIOGOPI KULALA PEKE YANGU MAMA ALIVYOSAFIRI BABA ALIKUWA ANALALA KWA DADA(Mfanyakazi wa nyumba) ALAFU WOTE WANAOGOPA WANAPIGA KELELE DADA IIIiiiiiiiii!!!! BABA yeye AAAAAAAAGGggghhhhh!!!.....
 
Kama ni baba hapo unaweza kuingia chini ya meza kwa fadhahaaa...wanasema watoto ni kama vitabu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom