honda cc90 inauzwa

ni_mtazamo_tu

Senior Member
Oct 17, 2012
153
20
habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki sita. Kwa anayetaka kuiona awasiliane nami kwenye 0688941186
 
Mkuu samahani bwana nina.nne.vp nshachoka daladala
 
habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki sita. Kwa anayetaka kuiona awasiliane nami kwenye 0688941186

Ebu weka na picha tuisaminishe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom