ni_mtazamo_tu
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 153
- 20
habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki saba na nusu. Kwa anayetaka kuiona awasiliane nami kwenye 0688941186