HOME SHOPPING CENTER ndio wamiliki wa GALCO ICD...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Inasemekana baada ya kujifilisi wenyewe,hawa jamaa wamefungua icd mpya ipo nyerere road mita chache kufika mataa ya Tazara,unapita barabara ya vumbi karibu na ofisi ya TBC pale.

Kwasasa yasemekana wanafanya Transit tu.

Customs officer aliepo hapo alihamishwa kutoka TIcts na kupewa kituo hicho ambacho bado ni kichaka cha hao mabwana.

Kwa kuanzia tu naomba mh Raisi au Waziri mkuu pita hapo Galco Icd mjue anachokifanya huyo.
 
Safi sana. Na wengine wenye taarifa za wakwepa kodi na mafisadi wekeni hapa tuwasaidie rais na waziri mkuu wetu.
 
Pia ICD ya Kuwadi Le Mutuz ichunguzwe maana na yeye ni mtu wa kushabikia sana utawala wa kifisadi wa mzee wa msoga.
 
Mkuu hiyo family naona mmeamua ife na njaa maana mnawafuata kila kichaka
 
Pia ICD ya Kuwadi Le Mutuz ichunguzwe maana na yeye ni mtu wa kushabikia sana utawala wa kifisadi wa mzee wa msoga.

Ipo wapi mkuu tuiangaze hiyo na hapo ndio watakufa kwa njaa maana mama kule same kakataliwa tayari
 
Safi sana. Na wengine wenye taarifa za wakwepa kodi na mafisadi wekeni hapa tuwasaidie rais na waziri mkuu wetu.

Wewe huna uwezo wa kumsaidia rais wala waziri mkuu maana wao wana mtandao mkubwa wakiamua
 
Na ICD ya kinana ichunguzwe pia tena wananchi wanapaswa kujua alipataje lile eneo la railway (TRC) pale shaurimoyo?
 
Wewe kweli huna shukrani wakati wapo madarakani ulikuwa unajikomba kwao _leo wamatoka unaanza kuwaandama?

Mkuu kuna watu wanatabia za kishoga shoga sana. Wakati tunapiga kelele kuhusu jamaa yao kuelea hewani kila siku kama kunguru wao wakakebehi na kusema ni wivu tuu, leo hao hao wamegeuka na kusupport. Ubadhilifu na wizi huu unaoonekana ulipigiwa kelele weee lakini hamna kitu, watu walibaki kujikomba tuu. Leo eti nao wanauponda utawala uliopita utadhani ulikuwa wa Chadema au UDP
 
Back
Top Bottom