Homa ya akina dada katika mapenzi

Mwanamke kukubali mapema siyo umalaya. Kama mwanamke alikua akikupenda na alikua ana ngojea umtongoze?(maana mara nyingi mwanaume ndiyo hutongoza). Sasa kama alicha kupenda kwa nini aku zunguushe? Au unakuta ulikua uki fahamiana na huyo mwanamke kwa muda mrefu na anajua tabia zako sasa kama anajua wewe ni mwanaume unayemfaa kwa nini acheleweshe. Mwanamke kuchelewa au kuwahi kutoa jibu haimaanishi kuwa ni malaya. Ina tegemeana na sababu nyingi sana. Kama mimi mpenzi wangu tulijuana kwa takribani miaka mitatu na wote tulikua tuna pendana sema mazingira kwa wakati huo haya kuruhusu tuwe pamoja. Mazingira yalipo ruhusu nikamuomba na yeye bila hiyana akani kubalia baada ya muda si mrefu. Maana wote tulikua tukipendana na wala hilo haliku jificha na kila mtu aliye tujua alijua tuna pendana. I think ina tegemea na mazingira na tabia tu ya mwanamke. Kama ni malaya hata akuzunguushe miaka bado kama ana tabia mbaya ana tabia mbaya tu. Remember some women play hard to get kwa makusudi but it doesn't mean wao ni wema sana ni kogopa tu kuonekana vibaya.

NAKUBALIANA NA WEWE KABISA, KUKUBALI HARAKA AU KUCHELEWESHA JIBU SIYO ISHARA YA TABIA YA MWANAMKE.
 
Last edited:
Back
Top Bottom