Hoja za kipuuzi

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
serikali ya kipuuzi, huja na hoja zakipuuzi, hutatua matatizo yake kwa njia zakipuuzi na pia upuuzi ndio huchukua sehemu kubwa ya utendaji wakipuuzi kwenye serikali hiyo yakipuuzi zaidi kuliko yote wabunge wapuuzi hutoa hoja zakipuuzi napia huunga mkono hoja za wabunge wapuuzi na miswaada ya mawaziri wapuuzi mwisho wasiku hupitisha sheria zakipuuzi sababu ya huohuo upuuzi wao na wananchi wapuuzi huishia kusapoti upuuzi huo maana nao niwapuuzi kama wao nakwaakili zao zakipuuzi wasiuone upuuzi huo.kushabikia ongezeko la posho kwa wabunge niupuuzi,kuwatukana madaktari etikwakuwa wamegoma kwakudai haki yao ni upuuzi hata wewe unaye fikiria kujibu jibu la kipuuzi kwenye post hii utakua ni mpuuzi pia
 
mbona humu ndani kumejaa wapuuzi kibao tu wanaojiita great thinker kumbe ni wapuuzi tu, najua watakuja na majibu ya kipuuzi, watakujibu kipuuzi sana ili kuonesha kuwa wewe si mpuuzi hutakiwi kuwajibu hawa wapuuzi maana na wewe utaonekana mpuuzi kujibizana na wapuuzi.
 
Back
Top Bottom