Hoja fikirishi: 'Siri' za Baraza la Mawaziri zinawafikiaje Manaibu Mawaziri hadi nao waape kutozitoa?

Swali lako ukiliunganisha na andiko kwenye fb la mteuliwa aliyetoka cdm (sijasikia akikanusha), ukajumlisha na uteuzi wa katibu wa bunge nk, unapata jibu ni kwa nini miaka 50 ya uhuru hatujapiga hatua zinazofanana na umri huo!
 
Kuhusu katiba na sheria Jembe langu ndiyo lilikuwa linaeleweka vizuri mno; sasa tangu juzi kuhusu uteuzi wa utata na hili hakuna mwenye kujenga hoja inayoeleweka. Lissu tunakuombea pona haraka.
 
Unaandika kama vile wewe ni maraika asiye na dhambi!

Kwa fikra zako duni unadhani wale wote wanaosali/swali hawana dhambi.

Wakristo husema usihukumu ili usije kuhukumiwa.

Hata Yesu alikuja kwa wenye dhambi na sio kwa wasio na dhambi.

Kwani padri anaekuombea yeye hana dhambi anapokataza muache dhambi? Unanihoji kama unaakili vile kumbe chenga tu....na fikra zako nawe zilivyo duni...

Halafu sio maraika --- wewe ni malaika shida ya kukurupuka.
 
Umeanza vzr ila umemalizia utumbo mtupu...kwani unasema kuua upinzani kwani kiapo hicho kilianza lini? upinzani nchini ulianza 1992 je chini ya huo mwaka walikua wanaapaje?au Huyo DB unaemsema yupo madarakani tangu lini? na viapo hivyo vimeanza lini?
Hilo lilikua swali langu?weka jibu au nenda post nyingine.Au na wewe upo kwenye payrol ya DAB?
 
Utaratibu upo hivi

Ni ukweli usiopingika kuwa manaibu mawaziri sio wajumbe wa baraza la mawaziri.

Lakini

Mawaziri na manaibu mawaziri huapa kutotoa siri ya baraza la mawaziri kwa kuwa kuna wakati naibu waziri huwa anamuwakilisha waziri wake kwenye baraza la mawaziri ikiwa waziri husika hayupo.(dharura) hii inamfanya naibu waziri kuhudhuria vikao hivi.
Kwa hiyo ni sahihi kabisa naye naibu waziri kuapa kiapo hicho inadvance
Waziri Kama hayupo huwakilishwa na Waziri mwenziye na Sio nai
 
Back
Top Bottom