Hoja binafsi: Wabunge pigeni kura ya Kutoiamini Serikali na Raisi wake.. Please please

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,706
Wabunge wote nawaombeni Mpeleke hoja kwa spika Wa Bunge kunahitajika ipigwe kura ya kutomuamini Raisi na serikali yote kwani madudu yafwanyayo hayavumuliki.

Wananchi wamesha choka yaani namaanisha.. pengine itawaamsha watawala wanaolala nimeona hata wabunge wanavyoisikitikia nchi yetu... Raisi yaonesha hana mpango nasi kwani hana shida ya kimaisha wala taabu na hakerwi na maisha yetu. me nitapiga kura na akitolewa ataifishwe mali zake alizotuchukulia iwe fundisho kwa kila raia anaenunua uongozi for faida yake

watanzania bado hatujafikia huko, kama huna cha kuposti unaweza kuchangia threads za wenzako acha upuuzi wako.

Jamaa ana hoja kwani hamuoni kwamba serikali imeshindwa, kuna haja gani ya kuendelea kuwa na rais kama huyu, rais wa kuandaa futari ikulu wakati nchi ina matatizo lukuki.

Ingekuwa ni nchi yenye bunge linalotenda kwa ajili ya wananchi nadhani hili linawezekana, lakini kwa bunge letu la kijani forget about it.

Wabunge wote nawaombeni Mpeleke hoja kwa spika Wa Bunge kunahitajika ipigwe kura ya kutomuamini Raisi na serikali yote kwani madudu yafwanyayo hayavumuliki.

Wananchi wamesha choka yaani namaanisha.. pengine itawaamsha watawala wanaolala nimeona hata wabunge wanavyoisikitikia nchi yetu... Raisi yaonesha hana mpango nasi kwani hana shida ya kimaisha wala taabu na hakerwi na maisha yetu. me nitapiga kura na akitolewa ataifishwe mali zake alizotuchukulia iwe fundisho kwa kila raia anaenunua uongozi for faida yake

wee wawapi? bajeji kupitisha kutoa ruswa wanapigiana sim za vitisho itakua hilo haiwezekani mkuu

Hili ndilo jibu wanalolihitaji watz, kwamba bunge liikatae sirikali hii mbovumbovu na legelege! ka!!! tumechoka na hizo ngojera na hadithi za akina abunuasi!!!!! Serikali ya JK tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na sema tokeniiiiiiii!

By Mwenzenu luponde.Hiyo ishu inawezekana sana sasa kule bungeni kuna wanafiki wengi sana,especially wanamagamba wale wanawezakufa kwa kumtetea mtu mwovu alimradi ni mwanamagamba.Naunga mkono hoja

By Mwenzenu luponde.Hiyo ishu inawezekana sana sasa kule bungeni kuna wanafiki wengi sana,especially wanamagamba wale wanawezakufa kwa kumtetea mtu mwovu alimradi ni mwanamagamba.Naunga mkono hoja

watanzania bado hatujafikia huko, kama huna cha kuposti unaweza kuchangia threads za wenzako acha upuuzi wako.

Hivi wewe unawezeje kusema hoja hii ni ya kipuuzi, wakati ni haki ya msingi ya kikatiba? Soma ibara ya 38 (2) (c) - (d) ndio utakapoelewa kati ya mtoa mada na wewe yupi ni mpuuzi. Je, unajuaje kama watanzania hatujafika huko? Je, huu si muda sasa tumefika na ndio maana katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ina kifungu hicho cha 38 (2) (c) - (d)?

Kwa mada hii mnatutafutia ban tu

Na ban utaipata tu kama katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huijui. Soma kifungu cha 38 (2) (c) - (d) ndio utakapoona kuwa ni kati ya watanzania wanaovuata upepo tu!!!

Hoja itolewe, wakiikataa, wairejesha kwa wananchi wataamua kama wanataka kuendelea au kuishia hapa, kwani lazima tufike 2015 hata kama tumechoka?

Serikali imewekwa kihalali na wananchi na katiba yetu hairuhusu kupiga kura ya kutokuwa na imani. Haya mambo yanafanyika nchi za kiarabu tu ambako ustaarabu wa demokrasia haujakomaa.

Hili ndilo jibu wanalolihitaji watz, kwamba bunge liikatae sirikali hii mbovumbovu na legelege! ka!!! tumechoka na hizo ngojera na hadithi za akina abunuasi!!!!! Serikali ya JK tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na sema tokeniiiiiiii!

Saaan mzeee! hapo ninakubali

Hili ndilo jibu wanalolihitaji watz, kwamba bunge liikatae sirikali hii mbovumbovu na legelege! ka!!! tumechoka na hizo ngojera na hadithi za akina abunuasi!!!!! Serikali ya JK tokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na sema tokeniiiiiiii!

Watu wa aina yako ndiyo mko wengi sana Tanzania. Watu ambao ni wepesi sana kupiga makelele mitandaoni lakini mkiambiwa muandamane mnajifungia vyumbani.

Serikali imewekwa kihalali na wananchi na katiba yetu hairuhusu kupiga kura ya kutokuwa na imani. Haya mambo yanafanyika nchi za kiarabu tu ambako ustaarabu wa demokrasia haujakomaa.
Wewe mtanzania kweli, katiba ya nchi gani hairuhusu kura ya kutokuwa na imani na rais, umewekewa vifungu vya katiba kwenye post hapo juu lakini huoni, njaa yako inakufanya hata uwezo wa kufikiri huna. Mtatumiwa sana mwaka huu lakini hamtafanikiwa, mmeifikisha nchi at a point of no return, JK must resign.

kelele za mpangaji hazimzuwii mwenye nyumba kulala, mmehamasisha maandamano wanainchi wamewasusa sasa mmehamia kwenye bunge ambalo wabunge wengi wa ccm.

watanzania bado hatujafikia huko, kama huna cha kuposti unaweza kuchangia threads za wenzako acha upuuzi wako.
Ndugu wowowo kama ni upuuzi mbona unachangia ... au wewe ndiye huo unaoukataa..

Tutafika tu wewe si unasubiri serikali hadi ije kukunyima kupumua ndipo utaona haikufai na mabosi zako ndio hao tuliowachoka sasa unapinga pinga hoja za kuleta Taifa jipya.
wewe kaa nyuma sisi tunasonga mbele hadi kieleweke

Back
Top Bottom