Hofu ya kutokuwa na mungu chanzo cha mafisadi-nape nnauye

Ndio tatizo la CCM, ni chama cha mafisadi wanaolindana. Anajua UVCCM imepewa fedha za mafisadi, hawajawahi kupinga. Alisimama kupinga suala la ujenzi wa jengo la UVCCM kwa kuwa mkakati mzima ulikuwa ni kumlenga Lowassa. Baada ya hapo, hakuna kinachoendelea. Kimsingi, Nape anatakiwa kuwa ajenda zake na kusimama kama mtu huru badala ya kuwa kikaragosi cha Mzee Mengi.

serayamajimbo
SYM, kijana ni imara hata ukimwangalia machoni anapoongea, genuinity inaonekana machoni he is for real. Alipopiga kelele ya jengo yaliyomkuta sote tunayajua, walimshukia, thanks to JK alimnusuru kwa vile anajua the kid is capable.

Kwa upinzani uliopo kwa sasa, lazima tukubali CCM is there kututawala milele, wakati tukiendelea kujenga upinzani imara, we have to back watu safi waliopo ndani ya CCM ambao watafight from within, hawa ndio kina Nape na baadhi ya Makamanda, kwani if you can't beat them, better join them.
 
Pdidy does it has to be that way? hao waliowateketeza kolimba, sokoine na wengine, naamini hawakuwa na hofu ya Mungu! We dont WANT such busterds for God's sake!! Enough sasa jamani.
Hizi system mbovu kweli hatuwezi japo kuzibadili japo iwe kinyume? That wakina Kolimba wawepo wengi zaidi ya hao the opposite side?

Ahhhhhh nikifikiri sana nachoka mie jamani!!

usichoke mkuu tukazane kuwapga maombi...unajua hii mijitu ina roho ya ibilisi...pdidy ni uwoga wake tu labda amechukulia exp kila anaegeuka nyuma anakuwa jiwe la chumvi akaamua kutoa onyo....unakumbuka mambo ya lutu
 
mama mia, shukrani
 
Wakuu heshima kwenu,
Kwanza nawashukuru kwa mawazo yenu mazuri. Yale yaliyonitia moyo na kwakweli hata yale yenye kukatisha tamaa.
NNADHANI HEADING YA THREAD IMEKOSEWA KIDOGO, NINGEPENDEKEZA IWE...... KUTOKUWA NA HOFU YA MUNGU NI CHANZO KIKUBWA CHA MAOVU INCLUDING UFISADI ETC.
Na hili naliamini kwa dhati na sikusema ilimradi kusema kama baadhi wanavyodai hapa. Hebu jaribu kufikiri inakuaje mtu mmoja yuko tayari alipwe tshs 152mil kwa siku huku kuna watanzania wenzake wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya?? Nimewahi shuhudia mama mjamzito akijifungua barabarani,na kafariki yeye na mtoto wake kisa zahanati iko mbali na hakuna usafiri kabebwa kwenye machela!
Wakati kuna watanzania wanafukuza ng'ombe wanasubiri maji yatulie wachote wakatumie, huku kuna mtu anaingia mkataba wa kinyonyaji na kuingiza nchi yake kwenye hasara kubwa ya kutisha. HAKIKA INAHITAJI UJASIRI WA KISHETANI ULOJAA ROHO YA KIFISADI
KUTOTOKA HADHARANI KUTUBU NA KUACHA UNYAMA HUU.
Lakini hebu fikiri unyama kama wa kuua maalibino inahitaji UJASIRI WA KISHETANI, na kama ilivyo palipo na nuru giza huondoka, ndivyo ilivyo HOFU YA MUNGU IKIINGIA,UJASIRI WA KISHETANI/UFISADI kwa Imani yangu UTAONDOKA na tutafanya Tanzania a better place for living!
Nnauye Jr
 
Kazi unayo....na hao wanaokuzunguka haaa!!!! wise words bro..."fear of God"
 
Halafu kumekuwa na hoja hii ambayo nadhani inakera, kuna wengi wanaoamini hakuna jambo jema litatoka kwa kijana unless anatumiwa na watu wengine, na linaumiza zaidi linaposemwa na vijana wenzangu!! Kwanini tunapenda kudamaza akili za vijana wenzetu wa bara la Afrika?? Binafsi niliamini kuwa mradi wa UVCCM hauko kwa masilahi ya vijana na chama,niliposema kuna watu wakaanza kudai natumwa,sasa natumwa na nani? Eti hapa mtu anadai nilikuwa namfix Lowassa, simple mind discusses personalities lakini watu wenye akili hujadili hoja!! Mimi ningedhani hapa watu wangejadili hoja regardless nani kafanya...... Hivi mkataba ule haukusainiwa kama walivyodai?? Taarifa nlizonazo mabadiliko ya mkataba yanaonyesha thamani ya aridhi sasa ni 10bill kutoka 2bill!! Huu kama sio wizi ni nini? Maana hata walohukumu mwanzo walisema Nape kasema uongo lakini hakuna aliyetoa huo unaodhaniwa ukweli, wakaishia kuunda tume why???? Lowassa akatishia kwenda mahakamani akikana kusaini mkataba,Mwanahalisi wakamwambia tukutane huko,bahati mbaya mpaka leo hajafika. Sasa nashauri kwa mambo ya nchi tujadili hoja zaidi kuliko personality!
 
wewe mimi nakutabiria mema sana,labda ubadilike mbele ya safari!adhawaisi ni mwanasiasa ninaekukubali sana
 
Junior, prove "them" wrong......."acha matendo na si maneno yawe pambo lako"
 
SYM, kijana ni imara hata ukimwangalia machoni anapoongea, genuinity inaonekana machoni he is for real. Alipopiga kelele ya jengo yaliyomkuta sote tunayajua, walimshukia, thanks to JK alimnusuru kwa vile anajua the kid is capable.

Kwa upinzani uliopo kwa sasa, lazima tukubali CCM is there kututawala milele, wakati tukiendelea kujenga upinzani imara, we have to back watu safi waliopo ndani ya CCM ambao watafight from within, hawa ndio kina Nape na baadhi ya Makamanda, kwani if you can't beat them, better join them.

Nyerere angekwambia "Kama unapenda macho yake kanywe naye chai"

Ingekuwa mvuto wa sura ndio uzuri wa uongozi basi - kwa kadiri ya conventional opinion, Smatta would say "no homo"- Tanzania tungekuwa mbele, at least EA.

Tuachane na uzushi wa kubase leadership kwenye superficialities, waulizeni Wamarekani na historia ya presidency ya Warren Harding.
 
Tuachane na uzushi wa kubase leadership kwenye waulizeni Wamarekani na historia ya presidency ya Warren Harding.

USHABIKI MWINGINE BWANA AH! YAANI UNAPENDA MAFISADI MPAKA UNAKUWA KIPOFU!.......INATISHA

Uuus
 
Kijana tuliuona ujasiri wako na jinsi ulivyoonyesha uso kama gumegume mbele ya wababe waliokuwa wakidhani kuwa na hati miliki ya maamuzi na utashi wa umma wa watz. Umma ulikuwa umeshajiandaa kusema NOOOO! ENOUGH IS ENOUGH. Bahati nzuri mh rais akasema NO kwa niaba yetu. Mnauye umechagua HAKI na hivyo haki imekwisha kuyatakasa mapito yako.
 
Nakushukuru sana ndugu yangu!
 
Nyerere angekwambia "Kama unapenda macho yake kanywe naye chai"

Ingekuwa mvuto wa sura ndio uzuri wa uongozi basi - kwa kadiri ya conventional opinion, Smatta would say "no homo"- Tanzania tungekuwa mbele, at least EA.

Tuachane na uzushi wa kubase leadership kwenye superficialities, waulizeni Wamarekani na historia ya presidency ya Warren Harding.
.
Bluray, the truth inaonekania machoni, sio uzuri wa macho bali ukweli wa anachoongea, hii pia inataka uwe na insight ya kuyaona hayo, ina maana ma pretenders utawajua kwa macho yao na wanapoongea, lakini pia nakiri kuna mabingwa wa deception wanaongea uwongo na macho makavu.
 
ndugu yangu nape uwe na moyo huo huo wanaokatisha tamaa hata hofu ya subahana hawana
Japo siwaungi mkono CCM kutokana na maroroso yenu, lakini ni mmoja wa wanaokubali to give the devil his due, wale wazuri wa CCM tunawakubali, and I can see the potential in you, sikufurahishwa na yaliyokukuta, hivyo nimefarijika na ulivyo rejeshwa, jambo uko ndani ya jumba chafu, nakuaminia uu mmoja watakao safisha from within.

Keep it up!
 
Wakuu heshima kwenu,
Kwanza nawashukuru kwa mawazo yenu mazuri. Yale yaliyonitia moyo na kwakweli hata yale yenye kukatisha tamaa.
NNADHANI HEADING YA THREAD IMEKOSEWA KIDOGO, NINGEPENDEKEZA IWE...... KUTOKUWA NA HOFU YA MUNGU NI CHANZO KIKUBWA CHA MAOVU INCLUDING UFISADI ETC.
Na hili naliamini kwa dhati na sikusema ilimradi kusema kama baadhi wanavyodai hapa. Hebu jaribu kufikiri inakuaje mtu mmoja yuko tayari alipwe tshs 152mil kwa siku huku kuna watanzania wenzake wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya?? Nimewahi shuhudia mama mjamzito akijifungua barabarani,na kafariki yeye na mtoto wake kisa zahanati iko mbali na hakuna usafiri kabebwa kwenye machela!
Wakati kuna watanzania wanafukuza ng'ombe wanasubiri maji yatulie wachote wakatumie, huku kuna mtu anaingia mkataba wa kinyonyaji na kuingiza nchi yake kwenye hasara kubwa ya kutisha. HAKIKA INAHITAJI UJASIRI WA KISHETANI ULOJAA ROHO YA KIFISADI
KUTOTOKA HADHARANI KUTUBU NA KUACHA UNYAMA HUU.
Lakini hebu fikiri unyama kama wa kuua maalibino inahitaji UJASIRI WA KISHETANI, na kama ilivyo palipo na nuru giza huondoka, ndivyo ilivyo HOFU YA MUNGU IKIINGIA,UJASIRI WA KISHETANI/UFISADI kwa Imani yangu UTAONDOKA na tutafanya Tanzania a better place for living!
Nnauye Jr

Kuna maneno mawili matatu nataka yakupe moyo.

John 8: 32; And ye shall know the truth, and the truth shall make you free. Here, the truth is the Lord, He said I am the truth, the way and the life.

Finally remember this, No one ever claimed that maintaining Tanzanian principles was/is easy or even efficient. But still awkwardness and difficulty do not constitute a logical argument for changing the Tz GOV's current public commitment to legitimate and reasonable openness. Openness should flow as a nature to our democratic republic na hii itaponya maovu mengi sana.

Mkuu Mungu akupe nguvu ya unsuperficial level, ili uweze ku unoxymoronic katika pairing of "openness ya Serikali" and Mafisadi ndani ya Serikali ili kujenga Taifa la Mtanzania.

To my knowledge, some of the exposed Mafisadi are either dead, "turned," or retired--and writing their memoirs which raises an interesting conundrum.

Where there's a will, there's a way.

Be blessed Mkuu Nnauye Jr.
 
One good thing kuhusu huyu kijana Nape, is, he is one of the few upcoming good ones kwenye CCM ambao bado wana morals za Kikambarage Nyerere na asipoharibiwa na fedha za mafisadi, has very bright future in this nation. Namkubali.
Paskali
.
Bluray, the truth inaonekania machoni, sio uzuri wa macho bali ukweli wa anachoongea, hii pia inataka uwe na insight ya kuyaona hayo, ina maana ma pretenders utawajua kwa macho yao na wanapoongea, lakini pia nakiri kuna mabingwa wa deception wanaongea uwongo na macho makavu.

Wakuu heshima kwenu,
Kwanza nawashukuru kwa mawazo yenu mazuri. Yale yaliyonitia moyo na kwakweli hata yale yenye kukatisha tamaa.
NNADHANI HEADING YA THREAD IMEKOSEWA KIDOGO, NINGEPENDEKEZA IWE...... KUTOKUWA NA HOFU YA MUNGU NI CHANZO KIKUBWA CHA MAOVU INCLUDING UFISADI ETC.
Na hili naliamini kwa dhati na sikusema ilimradi kusema kama baadhi wanavyodai hapa. Hebu jaribu kufikiri inakuaje mtu mmoja yuko tayari alipwe tshs 152mil kwa siku huku kuna watanzania wenzake wanakufa kwa kukosa huduma bora za afya?? Nimewahi shuhudia mama mjamzito akijifungua barabarani,na kafariki yeye na mtoto wake kisa zahanati iko mbali na hakuna usafiri kabebwa kwenye machela!
Wakati kuna watanzania wanafukuza ng'ombe wanasubiri maji yatulie wachote wakatumie, huku kuna mtu anaingia mkataba wa kinyonyaji na kuingiza nchi yake kwenye hasara kubwa ya kutisha. HAKIKA INAHITAJI UJASIRI WA KISHETANI ULOJAA ROHO YA KIFISADI
KUTOTOKA HADHARANI KUTUBU NA KUACHA UNYAMA HUU.
Lakini hebu fikiri unyama kama wa kuua maalibino inahitaji UJASIRI WA KISHETANI, na kama ilivyo palipo na nuru giza huondoka, ndivyo ilivyo HOFU YA MUNGU IKIINGIA,UJASIRI WA KISHETANI/UFISADI kwa Imani yangu UTAONDOKA na tutafanya Tanzania a better place for living!
Nnauye Jr
Halafu kumekuwa na hoja hii ambayo nadhani inakera, kuna wengi wanaoamini hakuna jambo jema litatoka kwa kijana unless anatumiwa na watu wengine, na linaumiza zaidi linaposemwa na vijana wenzangu!! Kwanini tunapenda kudamaza akili za vijana wenzetu wa bara la Afrika?? Binafsi niliamini kuwa mradi wa UVCCM hauko kwa masilahi ya vijana na chama,niliposema kuna watu wakaanza kudai natumwa,sasa natumwa na nani? Eti hapa mtu anadai nilikuwa namfix Lowassa, simple mind discusses personalities lakini watu wenye akili hujadili hoja!! Mimi ningedhani hapa watu wangejadili hoja regardless nani kafanya...... Hivi mkataba ule haukusainiwa kama walivyodai?? Taarifa nlizonazo mabadiliko ya mkataba yanaonyesha thamani ya aridhi sasa ni 10bill kutoka 2bill!! Huu kama sio wizi ni nini? Maana hata walohukumu mwanzo walisema Nape kasema uongo lakini hakuna aliyetoa huo unaodhaniwa ukweli, wakaishia kuunda tume why???? Lowassa akatishia kwenda mahakamani akikana kusaini mkataba,Mwanahalisi wakamwambia tukutane huko,bahati mbaya mpaka leo hajafika. Sasa nashauri kwa mambo ya nchi tujadili hoja zaidi kuliko personality!
Japo siwaungi mkono CCM kutokana na maroroso yenu, lakini ni mmoja wa wanaokubali to give the devil his due, wale wazuri wa CCM tunawakubali, and I can see the potential in you, sikufurahishwa na yaliyokukuta, hivyo nimefarijika na ulivyo rejeshwa, jambo uko ndani ya jumba chafu, nakuaminia uu mmoja watakao safisha from within.

Keep it up Nape, utafika mbali!
Wanabodi, hapa nimejaribu tuu kufanya mapitio niliwahi kusema nini kumhusu Nape kabla CCM ilipomkengeusha alipokuwa msemaji wake.

Lakini kwa msimamo wake kuhusu vituko vya Bashite, kiukweli nimerudisha tena imani kwa Nape,

Keep it up, utafika mbali.

Paskali
 
Back
Top Bottom