Mbwiga_Plus
Senior Member
- Jan 5, 2011
- 163
- 42
Jana 19/07/2013 huko mkoani Arusha kulikuwa na sherehe za kuwaaga na kuwakaribisha watendaji mbalimbali wa ngazi ya Wilaya, ikiwa ni pamoja na kumuaga aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Eng. Mushi ambaye amehamishiwa Wilaya ya Ilala, na hapohapo kumkaribisha Mkuu wa Wilaya mpya, John Mongella.
Nilibahatika kupata mwaliko ambapo majira ya saa 2.00 usiku shamrashamra zilianza kuchanganya taratibu.
Kitu kikubwa nilichostukia mwanzo n kwamba walikuwepo Waandamizi wote toka Mkoani na Wilayani, lakini Mbunge wa Arusha mjini hakualikwa, na badala yake aliyechukua nafasi ya kuitwa Mbunge ni Mama Chitanda ambaye ni Katibu wa ccm wa Mkoa na pia Mbunge wa huko Tanga nadhani.
Basi ikawa kila wakitaja Mh.Mbunge nilikuwa nastuka nikijua kamanda Lema angeonekana, lakini wapi bana!
Kitu cha Msingi na Shocking ambacho nilikigundua katika Speech za Waandamizi wote ni kwamba Wanauhanya sana UONGOZI WA ARUSHA MJINI kwa maana kuwa Eneo ka Arusha mjini ni Changamoto kubwa sana machoni pa Watendaji hasa ukizingatia kuwa wanaitumikia ccm, na kuwa Arusha iko chini ya mbunge wa Chadema.
Speech zao zote ziliashiria kuwa wanahofia hali tete ya Uwepo wa Chadema, na kuonyesha wazi kuwa wametawaliwa na woga kama vifaranga walio kwenye himaya ya mwewe!
Mama Sipora ambaya ni City Director ndiye aliweka wazi kabisa kuwa hakutarajia kabisa kuwa angefika siku ya jana akiwa bado Mkurugenzi kutokana na changamoto za Arusha.
Mongela naye alimwambia Aliyekuwa DC mtangulizi wake., "bila shaka ulisikia kasheshe tuliyokumbana nayo mwezi uliopita"...akimaanisha Mauaji waliyofanya Polisi..."bado tuna changamoto nyingi"..alimalizia.
Kwa mtazamo wangu, ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Cdm imeleta changamoto kubwa sn Arusha na Tanzania kwa ujumla, naamini kuwa mirija mingi iliyokuwa inanyonya mapato ya Jiji la Arusha imezibwa na makamanda.
Nilifurahia sana kuwepo pale ndani na kujionea Live ukosefu wa amani kwa waandamizi wa serikali, kiasi cha kutowaita Wapinzani kwny sherehe hiyo, japokuwa mimi binafsi niliwawakilisha.
Cheers!-