Karibuni masijala
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 409
- 135
Wanajamii wote msinibanie, "KARIBU" kwa heshima salamu zangu nawamwagieni pwaaaaa nderemo na vifijo wadada na wamama memba msinibanie ninaitwa masijala nawakaribisha masijala nawapitikana ukiwa unafika ofisi yeyote public au private kama umeajiriwa ukipeleka barua anaambiwa ipeleke kwanza masijala