..Katavi sio Latavi....hahahahaah!!Ushauri wa Latavi ufanyie kazi, karibia!!
Mgeni akikaribishwa vizuri hujsikia furaha,amani,na upendo.nahitaji kupenda kupendwa na kufurahi na ndugu wote.amina
good observation but leave it as it is.Karibu mgeni.
Wah: Katavi, Chatu dume, Karen Happuch, naomba muongozo wenu.
Hivi kwanini wageni wenye majina kama sweetie, soothheart, Gal gal, malovee, nightmachejo, lady O n.k wanapokelewa kwa page 9
lakini akina ngamakama, Sebukwa, Kisorya ni nusu page. why? si ubaguzi
naomba kutoa hoja
Karibu mgeni.