nachasudwa
Member
- May 17, 2015
- 72
- 34
- Thread starter
- #21
ila nimeambiwa tu nikuambie ukiingia huku vile vimaneno vya fb uviache huko huko.
huku tunaongea kiutu uzima zaidi.
Poa,kama ntakosea naelekezo yenu muhimu
ila nimeambiwa tu nikuambie ukiingia huku vile vimaneno vya fb uviache huko huko.
huku tunaongea kiutu uzima zaidi.
Poa asant
kwa hio ID huwez kuwa selebret humu hadi unakufa.note my word..either ubadilishe ID
Mkuu upo smart ktk utambukisho. Wewe ni MC ama PR nn.?! All in all umetisha.
Ukibadili useme hodi tena mm NACHASUDWA NIMESUDWUKA
Nafurahi kujiunga nanyi naomba tuwe pamoja.
Karibu sana JF mjukuu wetu ufaidi.........
karibu.
Vipi umepata shida sana ya kupata jina lako la uongo?
Nafurahi kujiunga nanyi naomba tuwe pamoja.
naombeni mnipokee mim mgeni jaman