hodi kwa mara ya pili

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,401
ni kitambo jambo forum imebadilika sana!! nilihufa kaka yenu sasa nimerudi kama vampire :eyebrows:
toka 2007 nimekuja kuamka 2010

naona Topic yangu hajawa closed https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/9854-kuzamia-chumvini-si-kuzuri.html

nisalimieni sana Dada yangu NyamaYao na
mchungaji revmasanilo ustadhi nimerudi :eyebrows:! kila nikichungulia naona umekaa kisiasa zaidi bwana mchungaji!.. NYANI GABU , Xpaster, Mbu, Mmwanakijiji na wengine niliwasahau nasalimiwa
:focus:https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/9854-kuzamia-chumvini-si-kuzuri.html
 
hii lazima ni ile limbwata ya nanilii coz huwezi potea muda wote huo

si Li mbwata Jimama la kisawasawa linalojuwa kulea, mwenzio nilikuwa nikikesha bila kujuwa! nastuka asubuhi hii.. "maji ya vuguvugu bafuni"
 
Nilifichwa na jimama flani basi ndio limeniachia sasa..
jimama again? WAPI BUJIBUJI?

si Li mbwata Jimama la kisawasawa linalojuwa kulea, mwenzio nilikuwa nikikesha bila kujuwa! nastuka asubuhi hii.. "maji ya vuguvugu bafuni"
Mkuu unamkumbuka MAYAULA MAYONI? (RIP). aliamua kuvunja gitaa alipokuja bongo.... ndo akamaliza hesabu za profesheni yake....
 
jimama again? WAPI BUJIBUJI?

hahhaha.. kama ulikuwepo
Mkuu unamkumbuka MAYAULA MAYONI? (RIP). aliamua kuvunja gitaa alipokuja bongo.... ndo akamaliza hesabu za profesheni yake....

mhh nakumbuka, unajuwa kumiliki jimaa inahitaji utaalamu wake!.. subiri niombe access jukwaa la mambo ya kikubwa ntakuwa kule saana:becky:
 
Back
Top Bottom