Hodi hodi

Maria Day Suzy

New Member
Aug 15, 2010
2
0
Waungwana habari za mihangaiko,mie ni mgeni hapa,nikikosea naomba mnisamehe tu,kwani wahenga walisema"kuku mgeni hakosi kamba mguuni":crying::crying::crying::crying::crying:
 
karibu mpenzi usiogope hujakosea kitu na ukikosea tutakueleza
 
karibu saaanaaaaaaaaaaaa wala usiwe na hofu sote tu wakoseaji ila tunaelekezana,
uwe na amani tu, bali hekima na uvumilivu viwe mwongozo wako daima,
unapendele kinywaji gani ????!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom