Hodi hodi

Kitendo tuu cha kuregister na kuweza ku log in ndio ukaribisho wenyewe. Hii ni freedom of expression forum hivyo kuwa huru kuchangia chochote kwa mujibu wa mawazo yako. Kuwa tayari kupokea pongezi na asante nyingi pale unapochangia mambo ya maana na uwe tayari pia kupokea criticism na matusi ya rejareja pale baadhi ya member watakapoona umemwaga pumba. The only one good thing you are sure 100% is, no one can touch you.
 
Aah Really?
 
Waheshimiwa hayo ni ya kweli nandio sawa,napendekeza tu yale matusi ya rejareja yawe ya Kidiplomasia, yasifike nguoni na kuvuka mipaka.
 
Waheshimiwa hayo ni ya kweli nandio sawa,napendekeza tu yale matusi ya rejareja yawe ya Kidiplomasia, yasifike nguoni na kuvuka mipaka.

Karibu sana jamvini kwetu. Usiwe na wasiwasi wa matusi ya nguoni hayaruhusiwi kabisa hapa na wahusika hufungiwa pindi wanapofanya hivyo. Hii ndiyo sababu kubwa ya jamvi hili kupata umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi yetu. Hakuna aliyekuja hapa kutafuta maadui au ugomvi, wengi tuko hapa kujadili yanayoendelea ndani ya nchi yetu ili kuinusuru toka mikononi mwa mafisadi ambao walianza kuwa na nguvu kuliko hata serikali iliyopo madarakani.

Pia tunajenga undugu, urafiki na pia kujiburudisha kwa namna mbali mbali na wakati huo huo kuyadili mengine yanayoendelea katika kona mbali mbali za Ulimwengu wetu.

Karibu jamvini.

Merry X-mas.
 
Humu kuna mpaka vidudu mtu! Unahitaji kuwa na busara zako ili maisha yako yaende. Karibu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom