hodi hodi wakuu.

MCHUNGAJI D

New Member
Sep 30, 2010
1
0
Salamu sana wakuu, nawasalimu katika jina Muumba wetu.

Nimekuja kushiriki katika kazi hii nje ya kujenga Taifa letu.

Niko tayari kuwaongoza sala ya toba viongozi wote mafisadi watakaotubu.

Ahsanteni sana
 
Du!
 
Ya leo kali (weka nusu)
 
Karibu mchungaji lakini usije ukala kondoo unaowachunga!!
Wasije kuungama kwako wewe uka-take advantage
 
Back
Top Bottom