Hizi nywele za chini sizitakitena

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
haya manywele yananipa karaha. Kila nikinyoa upele huo.utakuta kila siku najikuna hadi najichubua.hadi staman kunyoa. Nini dawa au nifanyeje ili niondokane na hii hali.

Naomba msaada.
 
Nataka ujue kuwa muumba sio mjinga, ikiwa utaondoa mavuzi forever halafu ukapata tatizo usije kuwalaumu jf, huo utakuwa ujuha wako.
 
Hivi mimi sijijui au nakaujinga??Hivi kama umepevuka unaweza kuandika huu upupu??Kwani wewe ni mara yangapi kunyoa??mpaka uone nikitu kigeni kwako?Pili na wasiwasi na umri wako!Vitu vingine ni kumaliza mwenyewe nakutafuta washahuri mwenyewe!!Nakumbuka nilipo ota mara yakwaza hizi nywele nilikuwa nikivaa kaptula naivutia kwa chini kidogo ili waone na mimi ninayo!!samething kwenye ndevu kila saa nilihitaji kukuna nakujisemesha kwa watu ndevu zinawasha na watu walionielewa lengo langu walinipa ukweli nakunibeza usijali dogo mbona zitakuja na utazichoka!!Sasa na wewe huna pakuongelea umeamua ulete hapa ujidai kwetu!!kwakujua huku hakuna anayekufahamu ila ulitamani uweke kwenye Facebook ila kule hukutegemea kama ipo siku utakuwa na mawazo mgando na kutakuwekaka mawazo haya kwakuwa ulishajiintroduce wewe ninani na watu wanakujua wengine na ni marafiki zako hivyo uwezi kuthubutu kuweka huu upupu unaoleta huku!!ila hapa JF unathubutu,unaweza kwakuwa hautambuliki na mtu!!!Yote heri na mbuzi ni wa Bwana Heri!!Pole kama nimekuandama ila ni sehemu ya kuelimishana!Karibu!
 
nimechoka kuchangia jamani, weee ndugu acha tu liwe li msitu, kwenu kuna hasara gani?
 
KakaKiiza nimekumiss sana, ebu nidipu mwanakwetu! lol
 
haya mavuzy yananipa karaha.kila nikinyoa upele huo.utakuta kila siku najikuna hadi najichubua.hadi staman kunyoa.nini dawa au nifanyeje ili niondokane na hii hali?naomba msaada.
nyoa kuelekea chini namaanisha kuelekea miguuni na si kupandisha juu.....pia hakikisha umepaka sabuni medicated while unanyoa usinyoe kavu kavu
 
Back
Top Bottom