Hizi ni salamu zako shangazi!

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Shangazi nimekuja,japo sina nia kukukwaza.
ahadi yetu umevunja,japo ni kwa mara ya kwanza.
yangu shida sikuoni ukija,kutatua kile ninacho kiwaza.
waweza sema chizi kaja,ni love stress kutwa kuwaza.
shangazi usichelewe kuja,mapenzi yanimaliza.

ni CL tu shangazi,yeye kagoma kunipenda.
pengine ukija wewe shangazi,CL atanipenda
wajua maumivu ya penzi,hasa pale ukipenda usipopenda.
njoo hima shangazi,Cl aweza nipenda.

tulikubaliana shangazi,zawadi nikakuhaidi.
lakini sikuoni shangazi,siamini kama wakaidi.
usiogope wako kipenzi,kwakua hili halipendi Madame B shangazi,ukifanyikisha nakupa zawadi
 
Last edited by a moderator:
Dah! Shangazi yako Madame B a.k.a X wangu!sasa mbona anakutosa?simuoni akichakalika
 
Last edited by a moderator:
Shangazi nimekuja,japo sina nia kukukwaza.
ahadi yetu umevunja,japo ni kwa mara ya kwanza.
yangu shida sikuoni ukija,kutatua kile ninacho kiwaza.
waweza sema chizi kaja,ni love stress kutwa kuwaza.
shangazi usichelewe kuja,mapenzi yanimaliza.

ni CL tu shangazi,yeye kagoma kunipenda.
pengine ukija wewe shangazi,CL atanipenda
wajua maumivu ya penzi,hasa pale ukipenda usipopenda.
njoo hima shangazi,Cl aweza nipenda.

tulikubaliana shangazi,zawadi nikakuhaidi.
lakini sikuoni shangazi,siamini kama wakaidi.
usiogope wako kipenzi,kwakua hili halipendi Madame B shangazi,ukifanyikisha nakupa zawadi

Niahidi kbs,
Nikimtia Mikononi CL,
utaniletea kichwa cha Ruhazwe JR kikiwa ndani ya mfuko?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom