Hizi ni sababu za kwanini Marekani inachelewa au kuogopa vita na North Korea

Mnapenda kujifariji na cheap point..

Km US alishindwa Afghanistan, uko wapi utawala wa Mula Mohammed?

Km US alishindwa Huko Iraq uko wapi utawala wa Saddam?

Km US alishindwa Libya, Ghadaffi yuko wapi?

Mkaachaga kujifariji na ujinga kisa misimamo ya kiimani
Soma vizuri kabla kujibu...
 
Soma vizuri kabla kujibu...
Huna hoja.

Katiba ya NATO inasema mshirika mmoja akipigwa, ni sawa na kua wamepigwa wote.


Mshirika mmoja wa NATO akiinuka kwenda vitani, wanainuka wote. Kumbuka us ndio mfadhili mkubwa wa NATO, so unataka aende vitani peke yake bila wapambe?

Ata hivo US anaweza kwenda vitani peke yake bila Msaada wa yoyote. Kwasabbu he is capable. Bado unataka ujidanganye tu kua eti anatafuta kiki ya kukusanya washirika?

Acheni kujidanganya
 
Huna hoja.

Katiba ya NATO inasema mshirika mmoja akipigwa, ni sawa na kua wamepigwa wote.


Mshirika mmoja wa NATO akiinuka kwenda vitani, wanainuka wote. Kumbuka us ndio mfadhili mkubwa wa NATO, so unataka aende vitani peke yake bila wapambe?

Ata hivo US anaweza kwenda vitani peke yake bila Msaada wa yoyote. Kwasabbu he is capable. Bado unataka ujidanganye tu kua eti anatafuta kiki ya kukusanya washirika?

Acheni kujidanganya
Wapi alienda peke yake ?
Hata Somali alikimbia...kasome Kisa Black Hawk down...
Hawezi kushinda na ni mwoga kwenda alone.
 
Usilitilie maanani sana lile trump mvaa wigi, ni mropokaji tu hana ubavu wa kuikabili NOKO (NOrth KOrea) one on one kwani yeye mwenyewe kama Rais hatabaki salama hata kamra Marekani kama nchi itabaki salama!
 
Wapi alienda peke yake ?
Hata Somali alikimbia...kasome Kisa Black Hawk down...
Hawezi kushinda na ni mwoga kwenda alone.
Somalia alienda km jeshi la kulinda amani magaidia na watu wenye itikadi kali wakaanza kuwauwa tu askari hovyo. Hakwenda km alivoenda Iraq
 
Marekani kushinda vita dhidi ya north korea wala siyo swali, ni campain fupi tu ya kijeshi inatosha. Wakati korea inahangaika kutengeneza ballistic missels leo, marekani walifanya hayo miaka ya 50 huko, sababu kuu za marekani kusitasita kuishambulia north korea ni
  1. Gharama ya vita, marekani imeshiriki vita nyingi na zilizodumu muda mrefu hivyo wanaijua vizuri gharama ya vita kiuchumi kwa pande zote zinazo shiriki especially baada ya vita kumalizika mnapo jenga upya nchi
  2. Reaction ya north korea kwa washirika wa marekani wakati wa vita. Wakati marekani itapokua inashusha kibano kwa north korea wao hawata kaa tu na kuendelea kupokea maumivu, practically kuishambulia marekani moja kwa moja hawawezi lakini wanaweza kuzishambulia south korea na japan na kwakua north korea watakua reckless wanaweza hata kutumia makombora ya nyukila na kusababisha idadi kubwa ya vifo.
  3. China na Urusi inabidi either wakubali marekani iidhibiti north korea au ziwe neutral. Lakini kama zitakua upande wa north korea hapo kutakua na hatari ya WW3 na Hakuna mtu mwenye akili timamu anayetaka hilo hususani kwa aina ya silaha zilizopo duniani, inaweza kuwa mwisho wa binadamu
  4. Nini kinafuata baada ya vita, hii ndio jambo gumu zaidi, lazima marekani iingie gharama za kuisimamisha nchi mpya ya north korea baada ya vita, maana wakiipiga na kuiacha kuna hatari ya mtu mwingine design ya kiongozi wa sasa kujitwalia madaraka na mchezo kurudi palepale.
Nimalizie tu kwa kusema vijana msipende kuichukulia marekani kimchezo mchezo, mambo mengi ambayo ni mapya duniani jeshi la marekani waliyafanya miaka ya 60 na 70 huko.
Je unajua kua internet iligunduliwa na DoD, hii ni department of defence ambyo jeshi la marekani lipo chini yake
Je unajua kua google map na google earth unazo enjoy kutumia zina tumia satellites za jeshi la marekani
Je unajua kua mfumo wa GPS unao enjoy kuutumia kwenye simu yako na hata gari lako uligunduliwa na unamilikiwa na jeshi la marekani
Kwakifupi marekani wanaitazama dunia kiganjani mwao.
Brother vita yakinyuklia haiangalii hizo point ulizoandika.even small one can smash the bigger one as long as nayeye anazo siraha za nyuklia..na hiko ndio marekani anakihofia,tayari Nkorea anazo siraha za nyuklia na USA analijua hilo .
 
Watu wamesahau marekani hamuogopi kim anaogopa nuke zake na kwahabari za chini chini marekani hajui baadhi ya mitambo ya kufyatuli ilipo na inasemekana kim kawasogezea huduma wateja wake marekani kwa kuweka mitambo yake chini ya bahari yaani mishe inatoka kwenye maji likishanusa hewa ya nje maji linapaa sasa kwa supersonic speed
Kuwafuata wacheza porn
Sasa ndio umeongea nini,,, soma ulichoandika
 
Mkuu achana na hizo story za vijiweni.
Marekani ana makombora ya nyuklia tangu miaka ya 1960 huko.Nani kakwambia Marekani hawana ICBM.Kwenye nyuklia Marekani Kuna kitu wanaita Triad yani mashambulizi kupitia Ndege(bombers),Submarines (SLBM) na Anga(ICBM).
Unalijua kombora la Marekani linaitwa Trident?!,hili linabebwa kwenye nyambizi Lina uwezo wa kusafiri zaidi ya 13,000km kwenda kufanya shambulio hivyo Marekani hahitaji kwenda NK kumpiga na nuke.Hili kombora linabeba mpaka vichwa 14 vya nyuklia.Na submarine moja ya Ohio inabeba makombora haya 24,hapo ni sawa na 336 nuke warheads kwa sub moja.Hapo hujagusia akina Minuteman icbms,hujagusia nyuklia za kubebwa na ndege(mfano B-61 nuke gravity bomb-only nuclear smart bomb).
Anavyosema ataiharibu NK usidhani hana uwezo huo ila hajaamua tu.
Brother acha utumwa wa akili ,issue sio nani anasiraha kubwa au ndogo,issue ni yeyote mwenye siraha siraha za nyuklia tayari ni mkubwa mwenzio usimchukilie poa.
 
Mnapenda kujifariji na cheap point..

Km US alishindwa Afghanistan, uko wapi utawala wa Mula Mohammed?

Km US alishindwa Huko Iraq uko wapi utawala wa Saddam?

Km US alishindwa Libya, Ghadaffi yuko wapi?

Mkaachaga kujifariji na ujinga kisa misimamo ya kiimani
Wewe ndio mwenye cheap point, soma vizuri alichikiandika mwenzio,acha kuwa mtumwa wa akili
 
Huna hoja.

Katiba ya NATO inasema mshirika mmoja akipigwa, ni sawa na kua wamepigwa wote.


Mshirika mmoja wa NATO akiinuka kwenda vitani, wanainuka wote. Kumbuka us ndio mfadhili mkubwa wa NATO, so unataka aende vitani peke yake bila wapambe?

Ata hivo US anaweza kwenda vitani peke yake bila Msaada wa yoyote. Kwasabbu he is capable. Bado unataka ujidanganye tu kua eti anatafuta kiki ya kukusanya washirika?

Acheni kujidanganya
Sasa nimeamini kwanini ccm inaendelea kushinda
 
Kwingine huko mkono wao wameuficha
lakini Nagasaki na hiroshima ni direct kabisa
Tusidanganyan usa anaogopa mkorea anaweza mnyosha,
Na pili hana uungwaji mkono wa 1 kwa 1,cz anahaha kutafta mchina mara mkorea Kusini.....ili wamtie moyo km Libye huko,
Ukizingatia hata Somalia miaka ile USA katekwa na ndege zake,kwa hiyo anaogopa mioshi ya kuni kuunguza kibanda white house!!!
 
Umejitahidi mkuu.

Hatahivyo wataalamu wa masuala ya kijeshi wa marekani na S/korea wana wasiwasi kuwa wakifanya pre emptive attack kwa north korea itakuwa hatari sana maana hawana uhakika na maeneo yote yenye silaha za nyuklia, hivyo basi wakimshambulia korea kaskazini bila kuangamiza silaha zote, n/korea anaweza tumia silaha zitakazokuwa zimebaki kuwashambulia kwa nyuklia.

Sababu ya pili wanasema tabia ya Kim Jong Un ni kikwazo pia maana hajaribiwi hata kidogo, kwa maana kuwa hata wakisema wanamshambulia kwenye baadhi tu ya maeneo kama ishara ya kumuonya asiendelee na mpango wake wa nyuklia, Kim atawajibu kwa vita kamili bila mzaha wala kusitasita.

Sababu ya 3 wakasema kuwa wananchi wa korea kaskazini wameshaaminishwa tangu utotoni kuwa marekani ndiye adui wao namba moja, kwahiyo hata marekani wakiivamia k/kaskazini wasitarajie kupewa sapoti ya wananchi badala yake watarajie pia vita dhidi ya raia kwa muda mrefu.

Nakadhalika. . . . . .

Source: new york times na usa today.
Hii niliisoma sehem kbsa
 
Back
Top Bottom