Hizi ndoa za wana JF zingependeza kama ingekuwa hivi?

How do you know for fact Asha D is a female? Be careful what you wish for....

Dah! that was mean Nyani Ngabu....lol.... Nishakua mwanaume....:A S-cry: Hapa naona niichukuea kama compliment na nibofye thank you...
 
Sijawahi kudanganyika mimi.

Wangu nichagulie wewe.
Daaaang!!
Owkeey nakuchagulia ahhhh ...bado nafikiria.....oohhh i know..mchukue wifi yangu King‘asti maana hataki aliepewa eti ni mzee!!Hopefully na wewe sio mzee!
 
Dah! that was mean Nyani Ngabu....lol.... Nishakua mwanaume....:A S-cry: Hapa naona niichukuea kama compliment na nibofye thank you...

Chembe chemba za wivu tu hizo partner...jipanguse alafu mwache asome namba za viatu!!
 
Dah! that was mean Nyani Ngabu....lol.... Nishakua mwanaume....:A S-cry: Hapa naona niichukuea kama compliment na nibofye thank you...

I'm shoory...I didn't mean to hurt your feelings. I know you are a whole lotta woman!
 
husninyo Eiyer hajamsema wake?

hahahaha Sharo huna lolote... wewe si mwambie tu wewe ndo wa Husninyo... nashangaa sijui ulimuingia na line gani siku zote husema hataki mashaorobaro...lol[/QUOTE]

Asha bwn, huo ukorofi sasa, naona ndoa yako umeichekelea kweli! Mi kwa nia njema namuliza Eiyer wake ni nani?
 
Rev Masanilo,umevunja mbavu zangu!!!Guys mariage!?!
 
hahahaha Sharo huna lolote... wewe si mwambie tu wewe ndo wa Husninyo... nashangaa sijui ulimuingia na line gani siku zote husema hataki mashaorobaro...lol

Asha bwn, huo ukorofi sasa, naona ndoa yako umeichekelea kweli! Mi kwa nia njema namuliza Eiyer wake ni nani?[/QUOTE]

Hilo ni suala la msingi saana... ukute ana pair kwa kubahatisha kumbe target kujua kama mtu yupo free...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom