Elections 2010 Hivi yale malori ya kubeba wasikilizaji yapo kuwapeleka vituoni kesho?

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
144
Hawa jamaa wa kijani walikuwa wanasafirisha watu kuwasikiliza, sasa sijajua kama watawabeba kesho au?
 
watajiju nani aliwaambia wafuate mkumbo hapo ukute hata mtu hana nauli ya kurudi home,jaman watu wengine akili zao u cannot imagine wanawaza nn,apo na bado atampa kura uyo uyo aliemtosa...mungu wasaidie wafunguke macho
 
cha kushukuru wote wale ni vilaza wakifika kupiga kura watakuwa wameshamsahau kikwete kwa hiyo watampa slaaaa, maana hawajui hata kusoma:doh:
 
Back
Top Bottom