Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

Ahhh kumbe ni huyu jamaa.. nilishawahi kupata tetesi kuwa ni mpiga mizinga maarufu sana hapa mjini. kumbe jamaa ni wa hovyo sana..
Mkuu Radio hizi zinaficha mengi. Tatizo watu wanaona sauti zao zinasikika humo Radioni bila kujali kuwa wanasikilizwa au laa wao wanajiona ni watu makini na wenye akili kumbe bure kabisa. Hatukatai waweza kuwa na mapenzi yako binafsi ya jambo moja lakini huna haki ya kubeza na kudharau ya wengine kwa kiwango cha kuudhi.
Sasa kama yeye anajifanya mjuaji basi NA KESHO AENDELEE NA KEBEHI ZAKE na wadau humu atakayesikia ani PM ili nami niweke hadharani yale ambayo najua wengi hawayajui.
mtindo ni uleule aliotumia Msigwa kwa Polepole, ukiwapakazia wengine uongo wewe tunaweka yako ya ukweli.
 
Hivi kumbe wewe huwa unawaaikiliza hawa duuh hahah mm hata siku moja sipotezi Muda wangu kufanya hivyo

Maana boss wao pia ni mwizi tu kaiba studio
 
Nakumbuka mbunge wetu wa Mbeya Mjini Mh. JOSEPH MBILINYI amewahi kuwaambia waache ujinga wanaoufanya kwa kushabikia chama Tawala. Nahisi aliwaona mapema kuwa wana mambo ya kikoloni sana, sijui waliishia wapi hao watu
 
Nasikitishwa na kukerwa na hawa watangazaji wa baadhi ya radios hasa pale wanapoonyesha hisia zao za kiasiasa waziwazi na hata kuwa bias wanapotoa taarifa. Hasa nikizungumzia kituo cha radio cha clouds fm katika kipindi cha asubuhi ambacho kianendesha na huyu kijana aitwaye Gerald Hando.

Huyu mtu amekuwa wa hovyo sana hasa kwa kubagua magezeti ya kusoma, lakini kwa magazeti machache anayosoma anadiriki kusoma mambo machache tu ambayo yanaki-favour chama tawala. Mwanzake Paul James amekuwa mjanja zaidi kwa kujiweka pembeni (huenda hataki kuonyesha hisia zake), lakini huyu Hando anaamua kujitoa mhanga kwa kufanya wendawazimu huo.

Tunaamini si radio ambayo inamilikiwa na mwanasiasa au kuwa katika mlengo flani wa chama, tunadhani ingekuwa vyema kusimama katikati pasipo kubagua nini usome na nini usisome. Mbona mwenzie Godwin Gondwe pamoja na kushiriki ktk kura za maoni kwa tiketi ya chama tawala kwa tiketi ya Ubunge lakini akiwa anasoma habari huwezi kutambua kama ni mtu ambaye yuko chama flani. Hii ina maana kuwa na-practice professionalism.

Vijana wa kihuni kama hawa Kusaga angetimua wote, ingawa najua Kusaga pia ni walewale!

Nawasilisha!

zima washa music kwenye sim yko
 
Ndo maana naipenda JF aisee. Kuna jamaa yangu hapa naye ananipa umbea kumbe jamaa ni mwizi wa wake za watu balaa, halafu anapenda sana kubebwa na wanawake hao wa watu wenye hela.. Dah!

Sijaipata vizuri hiyo ya Mh. Msigwa kumtolea uvivu bwana Polepole.. nipe kidogo!

Mkuu Radio hizi zinaficha mengi. Tatizo watu wanaona sauti zao zinasikika humo Radioni bila kujali kuwa wanasikilizwa au laa wao wanajiona ni watu makini na wenye akili kumbe bure kabisa. Hatukatai waweza kuwa na mapenzi yako binafsi ya jambo moja lakini huna haki ya kubeza na kudharau ya wengine kwa kiwango cha kuudhi.
Sasa kama yeye anajifanya mjuaji basi NA KESHO AENDELEE NA KEBEHI ZAKE na wadau humu atakayesikia ani PM ili nami niweke hadharani yale ambayo najua wengi hawayajui.
mtindo ni uleule aliotumia Msigwa kwa Polepole, ukiwapakazia wengine uongo wewe tunaweka yako ya ukweli.
 
Af Wabongo Bhana Yan Chanel Ikienda Against Nyny Kdg Bax Tatizo..Mlianza Na Tbc Oh Inapendelea Ccm Hamuiangalii,mkaja Itv Oh Imenunuliwa Kisa Magufuli Kaisifia, Channel 10 Mkaisema Et Kisa Imemleta Polepole Kaiponda Chadema, Startv Nayo Kisa Mmiliki Wake Ccm Inaibeba Ccm,sasa Hv Clouds Sasa Nyie Kp Mtakipenda?Yan Mnataka Mda Wote Msifiwe Nyie 2,mda C Mrefu Azamtv Nayo Mtaanza Kuisema,tubadilike Jaman...
 
clouds watangazaji wake niwakuokota mitaani hawajasoma sasa unategemea mtu km mbwigwa aoneshe professionalism ipi? ndo hata hando wanapiga kelele tu
 
Back
Top Bottom