Hivi wapiga kura wanawezaje kuwawajibisha wabunge wasiowajibika?

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
"Hata hivyo, baada ya kura hizo hoja ya Lisu ilitupiliwa mbali baada ya wabunge 152 kuikataa dhidi ya wabunge 69 akiwamo ya Pinda kuikubali. Wabunge 128 hawakuwapo bungeni".

wajameni hiyo hapo juu ni paragraph kutoka katika gazeti moja kama inavyojieleza.
mara nyingi tumekua tukiona upungufu mkubw wa wabunge bungeni, kuna wakati nilisikia eti wengine hawakuepo bungeni kwasababu walikua dar wakichek mech ya taifa stars na brazil.

Mimi kama mpiga kura naomba kujua, hivi hakuna njia ya mimi kuweza kumwadhibu mbunge tegevu???
 
Hakuna bunge tena tanzania. Lets close those doors and tutengeneze bunge letu Mwanza.
 
"Hata hivyo, baada ya kura hizo hoja ya Lisu ilitupiliwa mbali baada ya wabunge 152 kuikataa dhidi ya wabunge 69 akiwamo ya Pinda kuikubali. Wabunge 128 hawakuwapo bungeni".

wajameni hiyo hapo juu ni paragraph kutoka katika gazeti moja kama inavyojieleza.
mara nyingi tumekua tukiona upungufu mkubw wa wabunge bungeni, kuna wakati nilisikia eti wengine hawakuepo bungeni kwasababu walikua dar wakichek mech ya taifa stars na brazil.

Mimi kama mpiga kura naomba kujua, hivi hakuna njia ya mimi kuweza kumwadhibu mbunge tegevu???
Hilo ni fundisho mwaka 2015 tusifanye makosa katika kuchagua wabunge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom