Hivi wanawake, huu tuite wivu au tuite umakini kwa Maendeleo ya mwili wa mume wako?

SEASON 5

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
481
1,001
Kuna marafiki zangu wawili mtu na mpenzi wake, mwanaume anafanya kazi ya UDJ lakini mwanamke ni mtu na kazi zake nyingine tu, sasa majuzi hapa mwanaume akapata kazi Gongo la mboto kule ndani ndani kabisa kazi ya kwenda kupiga mziki, lakini anatakiwa afike asubuhi saa 1 aunganishe mziki na kufanya setting zote yeye ki ufupi kuhusu mziki jamaa alikabidhiwa hilo jukumu lote.

Jamaa na mke wake wanaishi mbali kabisa na gongo la mboto ni kibamba ndani ndani huko, sasa jamaa akafikiria kutoka kwake mpaka eneo la tukio asubuhi mapema akaona hatoweza, akamwambia mke wake kuwa anaomba kwenda kulala eneo la tukio ili aweze kuamkia huko asubuhi asichelewe.

Mke akasema sawa hamna shida, mume akaondoka akaenda kulala eneo la tukio kesho yake akafanya kazi iliyompeleka kisha Jioni baada ya kumaliza kazi akarudi nyumbani kwa mke wake.

Kama kawaida mke na mume wanaenda kuoga pamoja, kufika bafuni Mke anamuangalia mume wake anamkuta HANA VUZI HATA 1 yani mwanaume kanyoa msafi kipara kabisa, mke akamuuliza mume wake? Nani kakunyoa wakati juzi umeniaga hapa ulikua na mavuzi? ina maana wewe kwenda kwenye hiyo kazi ndio ukaamua kunyoa huko huko? Jamaa akamwambia Ndio mimi niliona ninyoe tu kwani shida iko wapi?

Mke akasema hapana najua ukijinyoa na najua ukinyolewa, wewe umenyolewa na wala hujajinyoa mwenyewe haya mavuzi Basi bwana ugomvi ukaanzia pale, wakarudi ndani mume akimuuliza mke chakula kiko wapi,mke anajibu "kamuulize aliekunyoa mavuzi" mume akiuliza remote ya TV iko wapi mke anajibu "kamuulize aliekunyoa mavuzi" majibu yakawa ni hayo hayo, jana ndio sijui wakaulizana nini mke akajibu kama kawaida yake akaongezea na maneno mengine "unataka kuniua, yanafanya umalaya huko unataka uniletee magonjwa, maneno kibao

Jamaa akaona isiwe kesi, akamrukia vitasa mke wake, piga makofi, piga tandika dunda zibua chakarata bamiza kweli kweli,wakalala kumekucha mwanamke kaenda polisi kafungua kesi hivi tunavyoongea jamaa kawekwa ndani.

sasa naomba kuuuliza wanawake hili alilofanya mwanamke mwenzetu ni wivu au umakini kazini? na wanaume nyie kumpiga mwanamke kisa anakufokea na kukwambia maneno ya sampuli hiii ni haki kweli au ndio kwasababu mmebarikiwa nguvu na uwezo?

wapendwa naomba namimi mnishauri nikamtoe huyu rafiki angu au nimuache wamalizane na mke wake maana kapelekwa lock up tangu jana hadi leo na najiskia vibaya yeye kuwa ndani,nifanye nini wakuuu?
 
Kama walizoea kunyoleshana mpk mtu anaelewa kuwa style hii ya kunyoa si ya jamaa unafikiri nini hapo?? Jamaa ilitakiwa awe mpole tu waongee kiutaratibu wayamalize hayo mambo ya ndani hata wewe ikiwa mke anakuaga anaenda mahali then kesho anakuja kauparua lzm uhoji.. hivi kwanza ugenini mtu anakuwaje comfortable kufanya kitu Kama hicho..😂
Mgeni umekuja leo tu Tayari ushanyoa na uvuzi! Ila wanaume hichi kichwa Cha chini huwa kinatuponza sana jamaa lilisahau kabisa kuwa hunyolewa na nani..😂
 
🤣
 
Kuna marafiki zangu wawili mtu na mpenzi wake, mwanaume anafanya kazi ya UDJ lakini mwanamke ni mtu na kazi zake nyingine tu, sasa majuzi hapa mwanaume akapata kazi Gongo la mboto kule ndani ndani kabisa kazi ya kwenda kupiga mziki, lakini anatakiwa afike asubuhi saa 1 aunganishe mziki na kufanya setting zote yeye ki ufupi kuhusu mziki jamaa alikabidhiwa hilo jukumu lote.

Jamaa na mke wake wanaishi mbali kabisa na gongo la mboto ni kibamba ndani ndani huko, sasa jamaa akafikiria kutoka kwake mpaka eneo la tukio asubuhi mapema akaona hatoweza, akamwambia mke wake kuwa anaomba kwenda kulala eneo la tukio ili aweze kuamkia huko asubuhi asichelewe.

Mke akasema sawa hamna shida, mume akaondoka akaenda kulala eneo la tukio kesho yake akafanya kazi iliyompeleka kisha Jioni baada ya kumaliza kazi akarudi nyumbani kwa mke wake.

Kama kawaida mke na mume wanaenda kuoga pamoja, kufika bafuni Mke anamuangalia mume wake anamkuta HANA VUZI HATA 1 yani mwanaume kanyoa msafi kipara kabisa, mke akamuuliza mume wake? Nani kakunyoa wakati juzi umeniaga hapa ulikua na mavuzi? ina maana wewe kwenda kwenye hiyo kazi ndio ukaamua kunyoa huko huko? Jamaa akamwambia Ndio mimi niliona ninyoe tu kwani shida iko wapi?

Mke akasema hapana najua ukijinyoa na najua ukinyolewa, wewe umenyolewa na wala hujajinyoa mwenyewe haya mavuzi Basi bwana ugomvi ukaanzia pale, wakarudi ndani mume akimuuliza mke chakula kiko wapi,mke anajibu "kamuulize aliekunyoa mavuzi" mume akiuliza remote ya TV iko wapi mke anajibu "kamuulize aliekunyoa mavuzi" majibu yakawa ni hayo hayo, jana ndio sijui wakaulizana nini mke akajibu kama kawaida yake akaongezea na maneno mengine "unataka kuniua, yanafanya umalaya huko unataka uniletee magonjwa, maneno kibao

Jamaa akaona isiwe kesi, akamrukia vitasa mke wake, piga makofi, piga tandika dunda zibua chakarata bamiza kweli kweli,wakalala kumekucha mwanamke kaenda polisi kafungua kesi hivi tunavyoongea jamaa kawekwa ndani.

sasa naomba kuuuliza wanawake hili alilofanya mwanamke mwenzetu ni wivu au umakini kazini? na wanaume nyie kumpiga mwanamke kisa anakufokea na kukwambia maneno ya sampuli hiii ni haki kweli au ndio kwasababu mmebarikiwa nguvu na uwezo?

wapendwa naomba namimi mnishauri nikamtoe huyu rafiki angu au nimuache wamalizane na mke wake maana kapelekwa lock up tangu jana hadi leo na najiskia vibaya yeye kuwa ndani,nifanye nini wakuuu?
Kha yaani jamaa analala selo kisa papuchi. Haya ndio matokeo ya kutokuwa na michepuko.

Angekuwa na mchepuko wake ile mke analeta fyoko fyoko wee unatulia kimya.
Unaenda kutuliza stress kwa mchepuko kwa raha zako ila nyumbani nalala.
Mwenyewe atajiona mjinga
 
Vijana mmeharibika sana, yani wazazi wa baadaye kila mmoja ana mchepuko!
 
Kha yaani jamaa analala selo kisa papuchi. Haya ndio matokeo ya kutokuwa na michepuko.

Angekuwa na mchepuko wake ile mke analeta fyoko fyoko wee unatulia kimya.
Unaenda kutuliza stress kwa mchepuko kwa raha zako ila nyumbani nalala.
Mwenyewe atajiona mjinga
Wataalam wahizi kazi utawajua tu;)
 
Back
Top Bottom