Hivi wanandoa wenzangu na wake zenu pia wako kama huyu wangu?

Kaka yangu Paris alikuwa na mwanamke akamtendea kama wewe mwisho hakijulikani alichomwekea. Paris alishatangulia.

Jirani yangu alikuwa hivyo hivyo yule mwanamke akaunganisha na majambaz wakamuuwa.

Jirani yangu mwingine tena watu wazima alipolala hakuamka.

Na mwingine na mwingine hivyo hivyo.

Haya ishini na hao wanawake kwa akili na maarifa sana.
 
Wanawake wote Kwa kiasi Fulani wanafanana. Tabia ya ubinafsi wanayo sana.ila nahisi sababu kubwa ni udhaifu waliozaliwa nao. Muhimu kaa naye na umwelezi ya kuwa tabia hii sipendi. Ukimwacha Watoto wako watateseka sana, hakuna malezi mazuri kama Watoto kumwona baba na mama yao kila wakati.
 
Yaani kuna wanawake wanabahati sana unapata mume muelewa na mpole kama huyu hafu unachezea bahati wakati kuna watu wanaomba usiku na mchana na hawapati.. kaka amka umekuwa mpole sana kuwa kichwa cha familia huyo mkeo ameshakuona we unampenda sana ndio maana anakufanyia hivyo na ye hakupendi atakuwa ana mti anae mpenda na kumthamini we anakutumia tu
 
tatizo walikuwa wanahemukia wale wa show room, wale ambao ukipita lazima wowo libambe mtaa, shingo ya upanga, sura ya malaika, nyonyo za saa sita, rangi ya chungwa, nywele za kimanga

wakasahau yaliyomo kama yamo..................izi ni mbwembwe tu ata mchina anaziongozea uzuri lkn sio moyo na tabia.
tabia haina mchina bhanaa............apa lazima iwe ni in born trait

afu ndo ukimpenda uyu kisa rangimya chungwa ata kibao kumpiga unaogopa usije haribu sura ya sh amon ukasahau muda mwingine punda haendi ila kwa kiboko

Kwel aisee sema hawaelewi mpaka yawakute yakuwakuta... tabia ngumu sana kubadilika
 
Mkuu pole sana kwa hayo yanayokusibu.
Ni dhahiri umevulia mpk umechoka na umeamua kusema.

Binafsi nashauri mzungumze kama CAPTAIN PHILIP alivyoshauri. Amenena mengi na ya hekima.

Umwombe sana pia Mungu akusaidie.
 
Mkuu Naomba uchukue huu ushauri hapa then utarudi hapa kuthibitisha na kushukuru....Usimpige kwa makosa hayo ya kuwabagua wazazi wako...ila mtafutie kosa linguine dogo sana...muite chumbani, funga chumba then uwe ushaandaa fimbo na mkanda wa suruali....muulize "Kwa nini....." tandika ile mbaya...akilia kwa sauti we endelea kuchapa tu...ikibidi chukua maji ya baridi changanya na chumvi mmwagie matakoni then endelea kuchapa...ukiona hajutii wala haombi radhi chukua kamba hizi za mkonge...funga mikono yote halafu tupia kamba juu ya dari funga hasa...chukua fimbo anza kuchapa upya...lazima atasalimu amri tu...then waite wazazi wa pande zote makae sasa, anza na makosa ya nyuma malizia na hilo ulilo-mtarget nalo....
 
didier kinuani;
Pole sana kwa masahibu yote yaliyo kupata. Nimesoma ushauri mwingi uliopewa lakini soma kwa makini ushauri aliokupa Captain Philip. Ni ushauri mzuri tu.
To the point;
Unaweza ukawa umechelewa lakini hujachelewa sana. Naomba nikuulize maswali machache;
1. Uhusiano wako na babamke uko powa? Yaani; unavyomwona, ni mtu mstaarab awezaye kukusikiliza?
2. Unapomwangalia, ni mtu anayeheshimu wazazi wa upande wako? Kuna siku aliwahi kuwakebehi au kutowathamini?
3. Huwa anamchukuliaje bintiye anapokuja kuwasalimu? Unajua, unapoenda kumchukua huko airport au stand ubungo, neno la kwanza kwa binti au kumhusu binti ni nini?? Anaweza akawa arrogant akakuambia, mheshim sanaa binri yangu bwana usimtese etc etc!
haya nimekuuliza kwa sababu, kama ni mtu arrogant, achana naye, chukua hatua kiupande wa ukoo wako wamkoromee huyo mwanamke mbele za huyo babake. Hii ni kama huyo babamke ni arrogant.
Kama ni baba mwenye heshima, anakuheshim, mwalike tena kwako. Mnunulie hiyo ticket ya ndege, mletee hiyo dawa yake uliosema anaipenda sana, kaa naye mpaka moyo wake uchangamke. Mkaribishe during the week end.
Ijumamosi, mtoe out kidogo tu ka kwamba ulitaka umwonyeshe ofisini kwako, halafu mpeleke hotel nzuri umwambie unataka atoe lock!!! Si wajua tena jana?
Kaa naye meza ya pembeni pasipo na kelele mweleze matendo ya binti yake anayowatendea wazazi wako. Umwambie sio kwamba una lalamika bali unamwomba ushauri kama baba yake kabla hujamwambia babako.
Kama ni mzee mwenye busara zake, atamwuliza bintiye mbele zako. Ndipo uumwage moyo wako kuhusu anavyo wanyanyasa wazazi wako.
Nasema, kama ni baba mwenye hekima, hakubali ujinga huu uendelee. Pole sana
 
Haya ni matatizo ya kuoa bila kumshirikisha Mungu...mke mwema hutoka kwa Mungu.....unaweza kukaa na mwanamke miaka10 ukaja kumoa na asiwe mke bora kama yule ambae umemuomba Mungu akakupa ndani ya miaka miwili.mkaoana...pia hadi baba yako anakuuliza uyo mwanamke umejuana nae muda gani inaonyesha hukuwa na desturi ya kumpeleka kwa wazaz wako muda mwingine tuache dharau pindi linapokuja suala la ndoa tuwashirikishe na wazaz pia kwa kumpeleka mke mtarajiwa nyumbani il wazaz pia wamsome..

wazaz,ni Miungu ya dunian Mungu huwatumia kutufunulia mambo mengi.. tatizo la wanaume siku hz unakutana na mwanamke haoa mjin mnakua kwenye uhusiano miaka mi4 wazaz wanaongea nae kwenye simu tu alafu siku unagangaza ndoa ndio wanakuja kumuona hawajapata hata nafas ya kukaa nae wakamsoma kidogo....

.ndio mwisho wa sikumambo huwa hivi...kwaiyo unapaswa kujua Mungu ndio huleta mke mwema na wazaz pia wanapaswa kusshirikishwa mambo kwa ukarbu kipind cha uchumba...hata kama wameishia darasa la3...wamekutangulia tu.usiwadharau na masters au phd yako...poe sana hapo huna mke.una mzaz mwenzio... nakutakia stroke njema ukifika miaka 50 pia na presha...maana uyo mwanamke atakutesa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaa :p :-*

Umeongea na kutoa ushauri mzuri sana na nimeupenda akiuzingatia utamsaidia japo umemlaumu kwa kasoro za kuchagua mke anayekubalika.

Note: Tangu Adam alipokula tunda na kumlaumu Mungu kwamba mke aliyempa ndo aliyemshawishi ale, tangia hapo Mungu hamchagulii mtu mke au mme, kila mtu anapata mke/mme mwema kwa skills zake.
 
Baba yangu mzazi kaja juzi kutoka kijijini kwa matibabu.Nilimkatia tiketi ya ndege akapandie mkoani, mke wangu akadai ni uharibifu wa pesa kumsafirisha Mzee kwa ndege angepanda basi wakati mzee wake mwezi uliopita alikua hapa kwetu na kaja kwa ndege kwa hela yangu wakati haumwi ni mzima na baba yangu alikua mgonjwa.

Kana kwamba hiyo haitoshi mizunguko yote ya muhimbili naenda mm na ndugu zangu Wa ukoo yeye yupo busy na kazi, anaenda kwa kusukumwa mno.

Ukiachana na hilo hata misiba ya ukoo wetu either atatafuta sababu inayokaribiana na ukweli asiende au ataenda akifika pale anageuka mgeni hashughuliki na chochote.

Wazazi wake wakiwepo hapa itakua ni kama wageni wametoka ulaya nitapigiwa simu nije na grant, sijui ninunue jack Daniels kwamba baba anapenda sana hiyo pombe njoo nayo dear.Weekend tuwapeleke wazazi wake beach yaani inakua ni mikiki ndani.

Tofauti na wazazi wangu wakija hakuna kinachoendelea ndani, hakuna mabadiliko ya vyakula wala nini mimi kwa kuepusha shari huwa namwambia baba twende tukale bar maana anatakiwa ale vyakula chukuchuku au vya kuchoma.

Jana usiku baba aliniuliza kuwa huyu mwanamke mlifahamiana muda gani kabla ya kuoana nikamwambia miaka 4 akasema si kweli hakuamini.Nikajiuliza kwa nn baba kaniuliza swali hili.

Hayo yote ni Tisa Kumi hufanya mambo yake ya maendeleo kimya na kwa siri kubwa humtumia mdogo wake wa kiume kufanya hayo yote I.e kujenga kwa siri. Nikiamua kumweka chini kwa utulivu na kumuhoji kikao hubadilika na kuwa vurugu tupu kwamba namfatilia, kwamba simpi nafasi apumue, kwamba mwanaume nina gubu mimi.

Anyway mimi ni mfanyakazi wa shirika la kimataifa, nina masters, wife ana bachelor degree yeye ni banker
Tuna watoto wawili mmoja yupo primary school standard one na mwingine nursery school.

Wakuu nawauliza hivi:-
(1) Hili ni hali ya kawaida kwa ndoa zote?

(2) Inawezekana sikumfaham huyu mwanake kwa undani?
(Relationship 4 years) je muda huo hautoshi kumjua mtu? Au alificha?

(3) Nimuite mzee yupi kuja kuzungumza nae maana wazee wote wa ukoo wangu anawaona hawana maana

(4) Kuna yeyote kati yenu ndugu zangu wana JF mwenye shida kama hili? Na aliitatuaje?

(5) Wazazi wangu wamechoka na hali hii niwaeleze nini wanielewe?

(6) Nimfanyeje mwanamke huyu?

Naomba ushauri wenu kwa dhati ya moyo wangu maana mimi mwenyewe nimechoka na hali hili iliyodumu kwa miaka 8
Sasa nafikiria REGIME CHANGE

NB: Sijawahi kuchepuka ila kwa sasa ndo nimeanza kufikiria replacement

Mimi hadi siku napotea juu hii ardhi sitakuja kubali kufa kimya kimya kisa navumulia ndoa. Nahisi wake zetu especially waliofunga ndoa za kikristo wana take advantage ya jinsi ilivyokuwa ngumu kuvunja hizi ndoa kwa hiyo mtu akishatoka kanisani anakuwa na tabia za ajabu hadi mme unakaa chini unajiuliza umefunga ndoa au umeingia kwenye mtego wa huyu mwanamke. Na hawa wazee wa busara wanaoita vikao hawana msaada kabisa zaidi ya kutoa ushauri usiotekelezeka. Hata hivyo utaanzia wapi kumbadilisha mwanamke mtu mzima! Tunapoelekea divorce cases zitaongeza tu.
 
Ndo maana nasemaga panahitajika party ya mwanaume kabla ya kufunga ndoa, wanaume wengi hawajui namna ya kuishi na mke, wao wanadhani kumpenda mke ni kumpa uhuru sijui kumwachia mshahara wake afanye atakavyo, yaani mwanaume anakuwa hana sauti kwa mkewe. Matokeo yake ndo haya.

Mi simulaumu mke bali nakulaumu we mume ndo umesababisha yote haya. Kifupi huna say kwa mke ndo maana anakufanyia hivyo. You didnt outline your Do's and Don'ts right from the begining, au ulikuwa unayapotezea matokeo yake yameenda kwenye extreme sasa!!

Tena usidhani kuwa na mchepuko ndo solution, kwa taarifa yako ndo utajiweka ktk wakati mgumu kuliko
 
Kk pole sana kwa aina ya mtu uliyenae nimesikitika sana toka maelezo yk. Jua huyo ukiwa huna kituatakumws
 
Mimi nafikiri wanaume wengi tunakosea sana kutoonyesha misimamo yetu tangu tukiwa wachumba kwa kufikiria huenda atakuacha au akuone wewe ni wa maana sana, lla maisha ya ndoa hayako hivyo, kumbuka huyu ni mwenza wa maisha na huwezi kuishi kwa kujifanya maisha yako yote matokeo yake ndo hayo malalamishi kibao.
Ushauri ni kwamba rudi kwenye maisha yako halisi nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi kama si wa kwako ataachia ngazi tu, then utapata wa kwako
 
Nothing to say, mzigo wako huo. Ubebe ukichoka pumzuka, ukipata nguvu endelea
 
Watu wanabadilika. Wakati unaoa/kuolewa unaamini he/she is the one! Baada ya muda ndio unaanza kushangaa ni huyu au mwingine?!

Mkuu siyo watu wanabadilika, sema wanaume wengi ni wadhaifu kwa wanawake kiasi ambacho tunashindwa hadi kuwamanage hawa viumbe, we don't take up or lead role. Huyu bwana hayo yote kasababisha mwenyewe, hakuna mtu mtiifu hapa duniani kama mwanamke ukiweza kum-manage
 
Nashangaa sana mwanaume anakuja humu kujiliza ovyo kama mtoto, jua we ni mwanaume na mtawala wa hiyo nyumba, tumia kipigo hata kwa week makofi 3 tu ya heshima, nakuapia huyo mwanamke atanyooka kwani hata Biblia imesema imelaaniwa nyumba inayotawaliwa na mwanamke.

Kifungu gani ndugu?
 
ngoja nikupe maelezo ya awali:

unaweza kukaa na mwanamke miaka hata saba katika uchumba na bado usimtambue nini amekificha ndani yake...kama unachunguza mwonekano wa nje huwezi kujua ndani (tabia) yuko vipi.....ndio maana baba yako amekuuliza swali ukajibu kisha akakataa na hujapata jibu kwa nini amekaa na amkuuliza swali hilo....

mzee wako hakai na wewe amekuja kwa matibabu lakini kwa kipindi kifupi ameshaona kasoro kubwa kwa mkeo ..yaani mke hana ''X- FACTOR''... lakini kumbuka kwamba sometimes women can lower their ego in order to achieve a certain goal....
sasa jambo la kufanya hakikisha unaweka msimamo na sherika kama baba wa nyumba na mkeo apite katika sheria na utalabu huo...
muonyeshe makosa yake anayoafanya na mweleze...akija juu simama sehemu yako kama baba....
vinginevyo uzee wako utakuwa wa manung'unikosiku zote...

mkeo alikuw ana tabia kama za mke wa mdogo wangu....mke alijenga shule, nyumba, akanunua gari mbili pasipo kumshirikisha mume na akawa hapendi ndugu upande wa mume wake wakati pale kwake wamejaa ndugu zaka wanasoma kwa gharama za dogo.....bwana mdogo alikuja kugutuka baada ya magari mawili kuletwa hapo ndo akajua yaliyojificha nyuma..... mwisho wa siku dogo alisimama mahali pake kama '' mume mwema na baba mwangalifu''.....hali ile ikakakoma


so mkuu nawe kuwa makini sana vinginevyo utaumia sana....
 
Kwani tatizo liko wapi????

Mkeo hukumchunguza na kujua mapungufu yake ( naungana na mzee kukushangaa)

Halafu mbona simple tu.... wazazi wako wape treatment ya kufa mtu....

Wakwake waambie huna hela ya ndege, beach wala grants...

Kuna viumbe wanahitaji ku-learn the hard way!!!
 
Back
Top Bottom