Hivi vitambulisho vya utaifa na makazi vinauzwa?

Ngoiva

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
235
44
Wandugu hili nimeuliza baada ya kuona vikiuzwa kwenye stationary moja hapa A.town. Ila niliwahi kusikia waziri wa mambo ya ndani akisema vitatolewa BURE. Naomba jibu.
 
Wanaviuza stationary ipi Ngoiva?

Hata Mi nimeshamsikia huyu waziri nakinena haya ya kwamba haviuzwi kamwe!

Hebu nipe mwelekeo ulipo stationary yenyewe inayouza nikavione!
 
Twiga kauzwa sembuse vitambulisho hii ndo Tanzania banaaa!!!!!!!!!!!
 
Twiga kauzwa sembuse vitambulisho hii ndo Tanzania banaaa!!!!!!!!!!!

Mkuki kwa nguruwe,.... wao wanatuuzia magari ambayo hatuna wasomi wa kuweza kuyatengeneza, kwa nini tusiwauzie NTWIGA. Maana na wao hawana INTWIGA.
 
Wanaviuza stationary ipi Ngoiva?

Hata Mi nimeshamsikia huyu waziri nakinena haya ya kwamba haviuzwi kamwe!

Hebu nipe mwelekeo ulipo stationary yenyewe inayouza nikavione!

mkuu liver, kama uko arusha, tembelea kata ya TERRAT, KIJIJI CHA MKONOO pale centre.
 
UNASHANGAA KUUZWA VITAMBULISHO VYA URAIA WAKATI WEWE MWENYEWE UPO SOKONI UNANGOJA KUUNZWA! Ongeza umakini itakusaidia!
 
Wandugu hili nimeuliza baada ya kuona vikiuzwa kwenye stationary moja hapa A.town. Ila niliwahi kusikia waziri wa mambo ya ndani akisema vitatolewa BURE. Naomba jibu.

Lakini Ngoiva mbona kama hii post yako ilikuwa inazungumzia hapa A town?
Mbona tena imekuwa nje ya mji?
Ama ulikuwa umeota kama ndoto nini?

Ila siyo ki2 ngoja nifike pale uliponiambia pale Terat.

Ila nimeshapata hofu na post yako!
 
Back
Top Bottom