Hivi, vichekesho zaidi ni maneno au vitendo?

Mkwaruzo

JF-Expert Member
Feb 21, 2011
563
98
Kama ww ni bubu, kweli utaweza kucheka kutokana na hawa comedian wa hapa kwetu? Au kama mm nisiyejua kizungu naweza kufurahika na comedy zao zinazotawaliwa na maneno, sidhani.
Lakini acha nije kwa mtu mzima wa kale Charle Champlin (chale champion) au Mr Been ambao ni full maaction mwanzo mwisho. Uwe mchina, muhindi, bubu, mswahili, mwarabu, kiziwi huwezi kufurahi kupitia hawa? Sijuwi kwa kuwakubali kama hawa, ndo nikiwa sicheki hata za humu!!!
 
No offence but it's jokes forum and i'm not laughing.

hata kama, nje ya hapa ktk forum, hao wanaojaribu kufanya (wasanii wetu) nao wanaishia ktk hizi hizi jokes zaidi na siyo vichekesho basi...
 
hata kama, nje ya hapa ktk forum, hao wanaojaribu kufanya (wasanii wetu) nao wanaishia ktk hizi hizi jokes zaidi na siyo vichekesho basi...

okay bana mayb you hav a point there,so what do you think is the solution!
 
Back
Top Bottom