Hivi ungefanyeje au unafikiria nini kuhusu hili

Kyaratu

Member
Nov 16, 2011
40
11
jmn nilikuwa na mpenzi na nilikuwa nina mpenda cna kuliko chchte ila cha kushangaza ghafla alipotea ktk mazingira ya kutatanisha kwenye cmu hapatikani kweny facebook haonekani kweny badoo simuoni nilikutana nae once ila cjawahi kulala nae i mean ku do anaisha A twn kwakwe ckujui ila ndo nilikuwa na mpango wa kwenda ila yy anamjua mpaka mama
 
Amwagwe kwani alikuwa keshachotwa. Hawaja-do unamwagwa nini jamani? Mmependana ivo kwa kuonana mara moja?

Pole ila nadhani una-imagine vitu au ulimla samaki kwa kumuanzia kichwani, huwa wanaanziwa mkiani.

By the way una miaka mingapi, itaweza saidia ushauri zaidi.

ushamwagwa wewe, soma alama za nyakati
 
jmn nilikuwa na mpenzi na nilikuwa nina mpenda cna kuliko chchte ila cha kushangaza ghafla alipotea ktk mazingira ya kutatanisha kwenye cmu hapatikani kweny facebook haonekani kweny badoo simuoni nilikutana nae once ila cjawahi kulala nae i mean ku do anaisha A twn kwakwe ckujui ila ndo nilikuwa na mpango wa kwenda ila yy anamjua mpaka mama

Kyaratu:
Ulikutana nae once na unampenda kuliko chochote? How is that even possible!!?. Au were your guys chatting on facebook\phone for s'time? Pole sana Ila usipende kuamaini mapenzi ya facebook mamii, rarely they turn out to be real! So becareful!
 
Jitahidi kumtafuta utimize ndoto yako ila nazan hana mapenz kwako ndio mana hadi leo hapatikani na inawezekana amebadilisha line
 
kama ni ww nitafuta fcbuk na c upo na imail yang why usinitafute ww acha longolongo
 
duh.... anaonyesha hajawahi ku du huyu... Ni PM Kyaratu.. you'll forget the past. I promise
 
bibie kama unakaa nje ya A Town halafu unaufungia safari muhogo,inaonesha una nye ge mbaya sana.Nalog off
 
Back
Top Bottom