Hivi unajua utajiri wako ?

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Ewe Mtanzania mwenzangu ,nimekuja na swali,hv unajua utajiri wako upo wapi?of course ninatambua kuwa most of tz wana-akili na hawajapata muda wa ku-expound their brains kama source ya utajiri wao...swala langu kubwa muda huu ni kuhusu utajiri wetu wa mali asilia,vivutio vyetu,milima,mabonde ,mito na maziwa,je unajua kuwa ni utajiri wko?hv wapendwa unaelewa kuwa tz ni craddle of human being ?hv unatambua kuwa unaweza kutembelea tz nzima ukiwa kijiji cha makumbusho kwa siku moja tu?eti wapendwa umeshawahi kutembelea hata kambuga kamoja ka wanyama au unaishia sema mikumi,serengeti,manyara zipo tz,tz gani hyo?hv unajua kuwa bagamoyo kuna a lot that can tell abt man?unajua kuwa wewe ni tajiri au?
 
mjita mpaka mida hii sijatia ndani
sasa unaponiita mi tajiri unanizingua ile mbaya
 
@dj babu,pole sana hoping kuwa mentaly ur rich,u can thnk and argue ,u can even reason ...the only thng is that hujapata chance ya kufanya hvyo,bt actualy what i meant nilikuwa nataka watz wapende kujitambua na kuthamini maliasili zao na vivutio vyao,unajua what?last week nilitembelea kijiji cha makumbusho-pale kijitonyama nilikuwa na wa-zungu flani sasa wakani-ask why in such area kuna few local tourist ina maana hawajui kuwa huo ndio utajiri wao au ni vpi?hence my question wa born,hoping you got me eeeeenh
 
kaka upo sawa ila kwa mimi ninaona utajil wangu ni KUFANIWA UFISAD NA KULIPA KODI huu ndo utajili wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom