Hivi Starehe hasa katika nchi za kiarabu ni zipi kama hawana hivi?

Iraq na Lebanon pombe kama kawaida na wanawake wa how much kibao mitaani!Siyo nchi zote za kiarab watu hawali raha
Beirut au Iraq ya zamani ya Saddam au pale Millenium Hotel Dubai kuna malaya wa Kirusi na ki kiethiopia na wale wa Asia hata Africa haiingii!Pombe Dubai zinauzwa kuanzia alfajir
 
tutakupuleka ukaoni.
si kama huku kijihoteli cha vyumba mia mnakiita five star.
starehe zipo c kama hz zako za glass ya wine 9000 halafi unajiona unakula bata kumbe wala popo..
Ndio umeandika nini mkuu?
 
Iraq na Lebanon pombe kama kawaida na wanawake wa how much kibao mitaani!Siyo nchi zote za kiarab watu hawali raha
Beirut au Iraq ya zamani ya Saddam au pale Millenium Hotel Dubai kuna malaya wa Kirusi na ki kiethiopia na wale wa Asia hata Africa haiingii!Pombe Dubai zinauzwa kuanzia alfajir
Lakini naona kama ni Dubai tu ndio kuna hayo
 
Yani yale mambo ya maasi kwa bila aibu mkristo anayaita ni starehe ambayo anaona waislamu wanaikosa starehe hiyo.

Kwa maana hiyo haya Maasi ndiyo starehe za wakristo.
 
Starehe zipo,ila zisiwe zinaharibu maadili na ustawi wa jamii,kwamejua sana kutofautisha kila jambo na mahala pake,sio kama kwetu huku mtu umepanga uswazi unashangaa ukuta unaloa tu na kutoa harufu kali kumbe upenuni kuna bar watu wanakojoa tu muda wote
 
Nimecheka bureee.,ati mabikira sabini .,!!! huuu ujinga upo mtu anafundishwa haya....
Wasiokuwa waislamu wengi mmejaribu kuuongelea vibaya uiaslam ,mnaupiga vita lakn matokeo siku zote ni tofauti ,uislamu unakuwa kuliko kawaida na watu wengi wanaingia kwenye uislamu na the gud thing wanaingia kwa sababu hasa za kuamini kuwa ni dini ya haki kutokana na jinsi walivyoosoma sio kama nyinyi mnawabidilisha watu dini kwakuwa hawna chakula,au ignorance yao

Ingia you tube andika road to islamu uone watu waliobahatika kupata neema ya dini ya M/mungu na walikuwa wana negative atittude kama yenu
 
Yani yale mambo ya maasi kwa bila aibu mkristo anayaita ni starehe ambayo anaona waislamu wanaikosa starehe hiyo.

Kwa maana hiyo haya Maasi ndiyo starehe za wakristo.
Sheikh...Starehe nyingi ni Anasa ila ndio starehe zenyewe....hii ni dunia

Cha ajabu zaidi ni kwamba hata Waislam waumin wanazipenda hizo starehe sana
 
Ndiyo maana TRUMP aliposema wote warudi kwao wanalia lia sn,,

Hakuna Starehe Arabuni,, ila eti starehe zote wameahidiwa kuzipata peponi kwao.

Huko watapata mabikra 72,, watapata mito ya ulevi,, aidha wameahidiwa kugegeda bila kuchoka,,
Ahadi zooote hizo wameahidiwa wanaume tu wamama hakuna inayowahusu hata moja hapo. Hivyo Wanaishi maisha ya hivyo kwa kutegemea ahadi ya Peponi kwa Allah wao.
 
Habarini Wadau,

Sijawahi kufika katika nchi za kiarabu haswa, namaanisha nchi kama Saudi Arabia, Yemen, Iran,Iraq, Morocco n.k

ILA, niliwahi kuambiwa mara kwa mara kuwa nchi nyingi za kiarabu zinakuwa na pesa nyingi za mafuta kwani huwa hawaspend pesa zao katika:-

◆ Kuimport Wines hasa za Russia katika nchi zao.

◆ Hawana Night clubs na zinapigwa marufuku kabisa

◆ Huko hakuna wanawake wanaojiuza mitaani ili kununuliwa na kutumiwa.

◆ Hakuna bar

◆ sidhani kama wana fukwe, na kama wanazo wanawake wataenda huko na Hijab kweli? Kwakuwa hawaruhusiwi kubaki na vyupi

◆ Michezo ya Wanawake kama Tenis hakuna kutokana na nguo zivaliwazo

◆ Hakuna mashindano ya walimbwende zaidi ya yale ya juzi juzi ya kuvaa hijab hivyo hata kuona umbile la mwanamke iwe mtaani au stejini hakuna.

Je Starehe huko Uarabuni ni kuwa na wake wengi tu na kupikiwa chakula chenye nakshi nakshi?

Kuna starehe gani tena huko hasa kwa Wanawake wa kiarabu?

Wanatumiaje pesa zao kujistarehesha?

Msaada Tafadhali.
Starehe zipo na sio kama vile watu wanavyosema kua nchi za kiarabu hakuna starehe..
Zipo sema sio kama vile nchi nyengine ziko wazi mtu unalewa kama popo,au pombe uikute supermarket hapo hakuna,
ila Bar zipi Ma changu doa wapo,nightclub zipo,nchi Ambayo sijaona vituko hivyo ni Saudi Arabia,lakini nchi nyingi za Kiarabu raha kama hizo zipo na wenye we ndio wanunuzi wakuu..
 
Ndiyo maana TRUMP aliposema wote warudi kwao wanalia lia sn,,

Hakuna Starehe Arabuni,, ila eti starehe zote wameahidiwa kuzipata peponi kwao.

Huko watapata mabikra 72,, watapata mito ya ulevi,, aidha wameahidiwa kugegeda bila kuchoka,,
Ahadi zooote hizo wameahidiwa wanaume tu wamama hakuna inayowahusu hata moja hapo. Hivyo Wanaishi maisha ya hivyo kwa kutegemea ahadi ya Peponi kwa Allah wao.
Kwa hiyo waislamu wanaishi maisha ya hivyo hapa duniani kwa sababu ya kukatazwa kufanya hayo maasi ambayo unaita ni starehe?

Kwa maana hiyo wakristo huishi vizuri hapa duniani kwa sababu wao hawajakatazwa kununua Malaya,kwenda bar kunywa pombe na mengine yote aliyoyaeleza mleta mada?
 
Sheikh...Starehe nyingi ni Anasa ila ndio starehe zenyewe....hii ni dunia

Cha ajabu zaidi ni kwamba hata Waislam waumin wanazipenda hizo starehe sana
Nishakuwa sheikh tena!

Nachokizungumzia Mimi ni kwamba yani mkristo kwa bila aibu maasi anayaita starehe ambayo anaona waislamu wanaikosa hapa duniani.

Kwa maana nyengine ni kwamba hakuna starehe zengine hapa duniani zaidi ya starehe za maasi na ndiyo maana wakristo wanawashangaa waislamu.
 
Back
Top Bottom