Hivi samuel etto bado ana mawasiliano na huu dada?

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Kama kakata mawasiliano nae niunganishe na ili pasaka yangu hii iende vizuri DSC04813.JPG
 
... Labda umuulize huyo dada kama anamawasiliano na etoo, itakuwa rahisi zaidi kupata jibu
jf raha sana unapewa jibu la kukasirisha then unabaki unacheka mwenyewe..
Ndio yamenitokea sasa hivi
 
kipindi kile eto'o amekuja bongo na cameron mademu wa kibongo walimtolea macho sana
 
Back
Top Bottom