Hivi nyie wanaume mnawezaje kulea na kusomesha watoto wa wanaume wenzenu kwenye shule za private

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,277
21,455
Siwezi kufanya kitu kinachopinzana na instinct yangu siwezi kulazimisha jambo, kulipia 4m@ kila mwaka kwa watoto wawili wa mke au previously (singo maza), wenye majina ya mwanaume aliekuwa anamlala na kumzalisha huyu mke wa sasa, mbona akili zinagoma, sawa ebu nionekane uncivilised mshamba, ila pesa ikihama hamna atakae somesha wa kwangu.

je incase mimi ni kitoka kuna mwanaume ataweza kuhudumia wa kwangu alipie 4m kwa mwaka, kwa waswahili hawa hawa wa sio heshimu education, masuali mengi majawabu machache loh!!!

Bora waende shule za st. kayumba ntampa 2000 kila jmosi ya tuition kwa mualimu Juma hapa mtaani. Kama mwanamke anaona sio fresh bora asepe sitakua Fala buana, wanawake hawana shukurani ata umfanyie nini anaweza kukutenda tu.
 
We huna hela sio kwamba instinct zako zinakataa. Sasa watu wanasomesha mademu zao sembuse mtoto wa kambo!
Unaonekana una gubu sana na hata ukimpa mwanamke wako hela utaliongelea mpaka kwenye kijiwe cha kahawa.
Mkuu acha wasomeshe mimi incintict imegoma, kila mtu ana roho yake lakini wengi end into tears wachache ndo wana furahia huo msaada.
 
Wewe bado haujasimama imara kiuchumi na
Kifikra

Unapokutana na singo maza yeyote jiulize swali watoto wana tatizo gani?

Ikiwa well financial stable unaweza kumsomesha MTU yeyote Shule ya gharama hata kumlipia tuition fees chuoni.

Vita dhidi ya singo maza na wanawake omba omba au wanawake masikini iendelee Kama kawaida Ila isiwalenge watu bali mambo ya watu.
 
JF bana,

Kuna Wanaume hapa watamponda mleta mada na kujifanya kuwa wao wana pesa na mioyo mizuri ya utayari wa kusomesha watoto wa wenzao ila kiuhalisia hata kuishi na watoto wa wenzao hawawezi

Back to the topic, hili jambo linawezekana kwa watu wachache wenye UPENDO hata 10Mil utaweza kulipa kama ukimtreat huyo mtoto kama mwanao wa kumzaa....Mungu atakulipa

Inategemea na Mtu
 
Baadhi ya hawanaga shukrani mwisho wa siku wanatafuta na kuhudumia baba zao na mbaya zaidi wakifanikiwa mama zao wanaanzisha mazingira ya kuwajengea uadui na wewe Ili usipate msaada kwao.

Kwenye akili ya mwanamke hata ufanye nini huyo si mali yako atakuhusisha tu kama daraja akishafanikiwa utatenganishwa naye mbali
 
Wewe bado haujasimama imara kiuchumi na
Kifikra

Unapokutana na singo maza yeyote jiulize swali watoto wana tatizo gani?

Ikiwa well financial stable unaweza kumsomesha MTU yeyote Shule ya gharama hata kumlipia tuition fees chuoni.

Vita dhidi ya singo maza na wanawake omba omba au wanawake masikini iendelee Kama kawaida Ila isiwalenge watu bali mambo ya watu.
Sawa ila siku baba yao atakavo kuja kuwachukua ndo utaona makosa yako yalikua wapi? Utaumia sana kihinsia kwanini unafanya uwekezaji uzito kwa kiwanja cha kukodi.
 
Siwezi kufanya kitu kinachopinzana na instinct yangu siwezi kulazimisha jambo, kulipia 4m@ kila mwaka kwa watoto wawili wa mke au previously (singo maza), wenye majina ya mwanaume aliekuwa anamlala na kumzalisha huyu mke wa sasa, mbona akili zinagoma, sawa ebu nionekane uncivilised mshamba, ila pesa ikihama hamna atakae somesha wa kwangu.

je incase mimi ni kitoka kuna mwanaume ataweza kuhudumia wa kwangu alipie 4m kwa mwaka, kwa waswahili hawa hawa wa sio heshimu education, masuali mengi majawabu machache loh!!!

Bora waende shule za st. kayumba ntampa 2000 kila jmosi ya tuition kwa mualimu Juma hapa mtaani. Kama mwanamke anaona sio fresh bora asepe sitakua Fala buana, wanawake hawana shukurani ata umfanyie nini anaweza kukutenda tu.
Ulimbukeni!
Private School Zina offer Nini Cha maana kama materials ni Yale yale na walimu ni Yale yale!!?

Yaani elimu mbovu Ile Ile inatolewa mazingira yenye unafuu halafu unajiita unasomesha kitu gani!!?

Bora uweke mtaji was mtoto kwenye mambo mengine ya maana kuliko kuwekeza kwenye elimu Ile Ile isiyo na majibu na kibaya zaidi haifundishi namna ya kutafuta Hela zaidi ya kukariri!!

Kama una hela peleka mwanao was damu international schools kuliko huo ujinga wa kupeleka shule zenye misosi mizuri na magodoro safi plus walimu wanaofuatilia sana ujinga wa elimu Ile ile isiyotatua changamoto binafsi za kujiajiri na ajira!!!

Watanzania tuna ujinga mwingi!!kama unataka mtoto ajue kiingereza SI upeleke english coz ya miezi mitatu tu anakijua Cha kutosha kuliko kumenyeka medium mamilioni Ili ajue english!!!

Elimu ya Sasa Haina maana hata mtoto akisomea sayari ya Mars atabeba ujinga tu!!

Nikiwa kwenye practical cession pale udsm niliambiwa Yale ma experiment yalifanyika huko uingereza mwaka 1500 huko!!!

So sad!
 
Baadhi ya hawanaga shukrani mwisho wa siku wanatafuta na kuhudumia baba zao na mbaya zaidi wakifanikiwa mama zao wanaanzisha mazingira ya kuwajengea uadui na wewe Ili usipate msaada kwao.

Kwenye akili ya mwanamke hata ufanye nini huyo si mali yako atakuhusisha tu kama daraja akishafanikiwa utatenganishwa naye mbali
Kweli kwa pesa hi ngumu unajipinda kulipia Ada 8m kila mwaka kwenye maafari au graduation party baba mtu na mkeo wana mbatana kutoa hutuba na kupewa pongezi la kusomesha wewe ata kualikwa hualikwi, mimi naona tutowi minimum support kwao wstoto kuepuka frustration za mbeleni.
 
Ulimbukeni!
Private School Zina offer Nini Cha maana kama materials ni Yale yale na walimu ni Yale yale!!?

Yaani elimu mbovu Ile Ile inatolewa mazingira yenye unafuu halafu unajiita unasomesha kitu gani!!?

Bora uweke mtaji was mtoto kwenye mambo mengine ya maana kuliko kuwekeza kwenye elimu Ile Ile isiyo na majibu na kibaya zaidi haifundishi namna ya kutafuta Hela zaidi ya kukariri!!

Kama una hela peleka mwanao was damu international schools kuliko huo ujinga wa kupeleka shule zenye misosi mizuri na magodoro safi plus walimu wanaofuatilia sana ujinga wa elimu Ile ile isiyotatua changamoto binafsi za kujiajiri na ajira!!!

Watanzania tuna ujinga mwingi!!kama unataka mtoto ajue kiingereza SI upeleke english coz ya miezi mitatu tu anakijua Cha kutosha kuliko kumenyeka medium mamilioni Ili ajue english!!!

Elimu ya Sasa Haina maana hata mtoto akisomea sayari ya Mars atabeba ujinga tu!!

Nikiwa kwenye practical cession pale udsm niliambiwa Yale ma experiment yalifanyika huko uingereza mwaka 1500 huko!!!

So sad!
Mkuu suala la private school vs public school tuachie sisi tunao jua tofauti. Hawezi kujua uzuri na mnafaa ya private school kama hujawahi kusoma huko, ila kupelekq mwanao wa damu kwenye public school its like academic sucuide nothing else, nivituko kule.
 
Back
Top Bottom