idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,312
lengo halisi la lile tamasha.mara nyingi huwa nasikia na wasanii wa nchi mbalimbali huwa wanaalikwa.na kwanini bendi zetu maruufu za kibongo huwa hazialikwi zianaenda bendi ambazo hazina umaarufu?.... kwani pale wanatumia vigezo gani kualika au mnaomba kushiriki.......nahuwa nasikia watalii wanapenda kwenda kwanini isiwe nafasi ya kuutangaza mziki wetu..,