Hivi ni sahihi shemeji kumuomba shemeji yake amsaidie kazi?

Didododi

JF-Expert Member
Jul 21, 2023
321
426
Wadau mpo? Kuna rafiki yangu anaomba ushauri mdogo wa mke wake ambaye wanaishi hapo (nyumbani kwa rafiki yangu)kwa muda sasa ameomba amsaidie kazi,Sasa anajiuliza haiwezileta shida kweli japo kamhakikishia everything is undercontrol.
Mdogo wa mke wa,rafiki yangu yeye hajaolewa ila ana mtoto mmoja na mdau flani
 
Kazi hii kazi ambayo ni shughuli halali afanyayo mwanadamu ili kumpa Kipato chake, mkono uende kinywani?.

Au wee na rafiki yako, mnamaana yenu?.
 
Wadau mpo? Kuna rafiki yangu anaomba ushauri mdogo wa mke wake ambaye wanaishi hapo (nyumbani kwa rafiki yangu)kwa muda sasa ameomba amsaidie kazi,Sasa anajiuliza haiwezileta shida kweli japo kamhakikishia everything is undercontrol.
Mdogo wa mke wa,rafiki yangu yeye hajaolewa ila ana mtoto mmoja na mdau flani
Matokeo ya kidato cha nne yanatoka lini?
 
Back
Top Bottom