Hivi ni kweli wanaume wa Dar ni walaini kiasi hichi?

cristela

Senior Member
Sep 20, 2016
138
297
6642ac18aefebf4a95d4629f6729bd6e.jpg
 
Wanaogopa Panya wanaume wa DAR ila wanawagongea ma demu wenu mpaka wanawakimbieni na ushupavu wenu,Wanaume wa DAR matunzo wanayaweza mnawachukia bureeeeeeeeeee....wanaume wa DAR Oyeeeeeeeeee....

Oyeeeeeeee....asante sana NIMPENDENANI kwa kufunguka ukweli. Hope wa Mikoani wamekusoma...it is a bitter pill though kwao...but wameze tu maana hakuna namna. Ha ha ha ha
 
Wanaogopa Panya wanaume wa DAR ila wanawagongea ma demu wenu mpaka wanawakimbieni na ushupavu wenu,Wanaume wa DAR matunzo wanayaweza mnawachukia bureeeeeeeeeee....wanaume wa DAR Oyeeeeeeeeee....
Sema unachunwa tu, ila kazi ya mwanaume wa kweli inayomkuna mwanamke iko kwa mwanaume wa mkoani, nyie midebwedo hamuwezi kazi, ila kwa kujipodoa hongereni saaana sana, ndi maana wengi wenu ni bwabwa tu. Mwanaume yupo mkoani, na kwa kazi tu humnyang'anyi demu... Huko Kuna jinsia mpya ya tatu dumejike
 
Wanaume wa dar ovyo kabisa.. Mpaka vitoto vya primary school vinaingia barabarani kuvipora alafu wanaomba msaada wa polisi
 
Sema unachunwa tu, ila kazi ya mwanaume wa kweli inayomkuna mwanamke iko kwa mwanaume wa mkoani, nyie midebwedo hamuwezi kazi, ila kwa kujipodoa hongereni saaana sana, ndi maana wengi wenu ni bwabwa tu. Mwanaume yupo mkoani, na kwa kazi tu humnyang'anyi demu... Huko Kuna jinsia mpya ya tatu dumejike
Unawachukia sijui wamekuibia Nani lakini as a man nadhani ungetafuta njia Mbadala yakulipiza lakini sio kuwaongelea kwa ubaya ...
 
Sema unachunwa tu, ila kazi ya mwanaume wa kweli inayomkuna mwanamke iko kwa mwanaume wa mkoani, nyie midebwedo hamuwezi kazi, ila kwa kujipodoa hongereni saaana sana, ndi maana wengi wenu ni bwabwa tu. Mwanaume yupo mkoani, na kwa kazi tu humnyang'anyi demu... Huko Kuna jinsia mpya ya tatu dumejike

Mwanaume aneyebishana na mwanamke kuhusu mwanaume gani ni rijali... bila shaka atakuwa shoga.

Wewe ni shoga??
 
Back
Top Bottom