FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,066
- 40,725
I mean hata ka-kiwanda kisicho rasmi kakuunga unga tu walau hata uchochorono tu..
Aisee.., angalau na sisi tunatengeneza toothpick.., sio mbaya sana..Mkuu, umasikini wetu unasababishwa na vitu vingine sana. Hata kiwanda cha vijiti Vya kuchokonolea meno (tooth pick) kimeanza nadhani mwaka jana.
Vv
Pamba zipo ila kile ki plastic chakushikia tutakitengenezaje.??swali hilo.
"Wenzako" kwenye nini mkuu??!!!Poor tanzania miaka 50 ya uhuru tunazungumzia kiwanda cha toothpick tuko nyuma sana wenzetu uchina tulioanza nao mbio wametulamba gepu la maana cc tunaongelea kuchonga dawati? Binafsi xna imani na wanaoitwa wawekezaji wiiiiiz mtupu
"Wenzako" kwenye nini mkuu??!!!
China tulikua mafukara wote miaka ya 60 ndo mana nikawaita wenzetu
I mean hata ka-kiwanda kisicho rasmi kakuunga unga tu walau hata uchochorono tu..
Pamba zipo ila kile ki plastic chakushikia tutakitengenezaje.??swali hilo.
kiwanda cha kutengeneza viberiti kipo. sio mbaya sana huo ni mwanzo mzuri
Mijitu mingine kaz kulalamika tu.sasa hauoni hyo kama ni fursa ili uanzishe wewe??
Viwanda vipo Na vilikuwepo Na vitaendelea kuwepo ,ukiona tuna export kitu ujue tumeona jamaa wanacompetitive advantage hivyo cha kwetu kitakuwa bei kuliko chao bt si kwamba tunashindwa.