Hivi ni kweli? Sababu tu Mimi ni Mwanamke?

SnowBall
msome pacha wako snowhite kwenye signature
yake. Kongosho akina mama tunamajukumu makubwa
sana ya kaufanya nyumba kuwa mahali pazuri pa kuish na hii hupelekea
kuwa ndani ya lawama nyingi zaid.
but pia kuna wanaume ambao wao hutumia hili kama njia ya kufanya uasi
wao. to me mwanaume anayefanya haya namweka katika haya makundi
1) mvivu wa kufikiri yaani muda wote hutegemea mkewe amuwazishe ampe
akili ila kufikiri kama yeye hawez
2)mbinafsi huyu anajipenda zaid yeye na huwaza katika kila jambo
atafaidika nini zaid kuliko the rest of the family. hawa hawajali
ugonjwa wala uchovu wa mwanamke.
3) mchoyo wengi wa wanaume wa aina hii ni wachoyo yaani ni wanyimi sana
kwenye kila kitu na ndio maana hawaoni shaka kama wake zao
watadhalilaika kwa makosa yao.
4) mdhalilishaji huyu haoni hurum ama hana soni kwamba kosa hili
litamdhalilisha mke wangu. na huwa ni wepesi hata wa kusikiliza watu
wakicomplain kuhusu mke na kisha kwenda kumsema mkewe sana juu ya lile
alilosikia.

all its all wanaume wa aina hii kiukweli wanatia uvivu sana kuish
nao.

Wanaume wengine majanga kweli,yaani ku cheat tu ndio hasubiri kushauriwa na mkewe.
 
Last edited by a moderator:
halafu wametufanya hadi wanawake tunahukumiana wenyewe kwa wenyewe.

Kosa hilo hilo mnafanya mwanamke na mwanamme lakini hata wanawake wanamhukumu mwanamke zaidi, so sad.

SnowBall msome pacha wako snowhite kwenye signature yake. Kongosho akina mama tunamajukumu makubwa sana ya kaufanya nyumba kuwa mahali pazuri pa kuish na hii hupelekea kuwa ndani ya lawama nyingi zaid.
but pia kuna wanaume ambao wao hutumia hili kama njia ya kufanya uasi wao. to me mwanaume anayefanya haya namweka katika haya makundi
1) mvivu wa kufikiri yaani muda wote hutegemea mkewe amuwazishe ampe akili ila kufikiri kama yeye hawez
2)mbinafsi huyu anajipenda zaid yeye na huwaza katika kila jambo atafaidika nini zaid kuliko the rest of the family. hawa hawajali ugonjwa wala uchovu wa mwanamke.
3) mchoyo wengi wa wanaume wa aina hii ni wachoyo yaani ni wanyimi sana kwenye kila kitu na ndio maana hawaoni shaka kama wake zao watadhalilaika kwa makosa yao.
4) mdhalilishaji huyu haoni hurum ama hana soni kwamba kosa hili litamdhalilisha mke wangu. na huwa ni wepesi hata wa kusikiliza watu wakicomplain kuhusu mke na kisha kwenda kumsema mkewe sana juu ya lile alilosikia.

all its all wanaume wa aina hii kiukweli wanatia uvivu sana kuish nao.
 
Last edited by a moderator:
@FP, yaani wewe ulipoolewa unataka mwenzio umcheleweshe asiolewe!

Napigia picha macho ya mawifi yalivyokuwa.
 
halafu wametufanya hadi wanawake tunahukumiana wenyewe kwa wenyewe.

Kosa hilo hilo mnafanya mwanamke na mwanamme lakini hata wanawake wanamhukumu mwanamke zaidi, so sad.

yani tena hadi kufikia hatua ya kupigana ama kuekeana visasi. but believe me ukombozi wa mwanamke hautaletwa na mwanaume hata siku moja. yaani ni lazima mwanamke aamue kujikomboa mwenyewe na ajikomboe kifikra, kiakili,kimali na hata kimaamuzi magumu.
 
Mmmh, haujawahi hukumiwa zaidi kwa kosa lile lile alofanya mwanamme na watu wanaokuzunguka?

si ni hapo nikubali kukaa chini ili nihukumiwe? Labda waniweke kwenye gas chamber, unajua yale mamikanda wanagunga kichwa, kifua, tumbo, kiuno, miguu na mikono? Yaani ikitokea nitakuwa nacheka tu. Ligi ya simba na yanga ndugu!
 
@FP, yaani wewe ulipoolewa unataka mwenzio umcheleweshe asiolewe!

Napigia picha macho ya mawifi yalivyokuwa.

yaani tena ndo walimgawanaje?
yaani kaja mpana kama pazia la sinema hajui kwamba ukoo wetu sifa yake kubwa kaka zetu hawaoi mke mmoja? hahahahaha! yaani naiona hiyo ukiwa na roho nyepesi kama ya King'asti utaishia kupiga mtu risasi kwa hasira.
 
Last edited by a moderator:
but King'asti have you forgot than men have higher expectation to women? think of what your hubby plus those who are closer to you expect from you.
hivi hubby wako amewah kukosa kitu ambacho labda kiligusa familia aliyozaliwa? je what was the reputation towards you? myself ilishawah nitokea and what pple said mkewe ndo sababu kwanini asimwambie mumewe. wakasahau kwamba hata mume wangu ni mtu mwenye utash wake.

hivi umewah kukutana na neno hili" kaka yetu akipotea tutakulaumu wewe" ama umewah kuliskia mwanamke akiambiwa? why so? je ni kwamba wanaume wanategemea mwongozo wa wake zao tu?

haya je umeshawah kutenda jambo sawa na mumeo halaf kwako likawa baya sana na kwake likawa fair tu?

my dear, im a doer of things. Kama ni kitu cha kufanya akilemaa atashangaa kawashiwa indicator manake na mie nna dreams zangu and he wasnt part of them. Kiufupi sikubali kuwa zombiii (source: lara 1)
Shosti wangu alishaambiwa na mama mkwe mwanangu akipotea ni wewe. Nashauri asiposhaurika atajiju! Hujawahi kujipeleka kwenye msiba wa ndugu zake, ukiulizwa unajichekelesha? Ana hiari ya kuongozeka, akigoma im not gonna freak out¡
 
Last edited by a moderator:
yaani tena ndo walimgawanaje?
yaani kaja mpana kama pazia la sinema hajui kwamba ukoo wetu sifa yake kubwa kaka zetu hawaoi mke mmoja? hahahahaha! yaani naiona hiyo ukiwa na roho nyepesi kama ya King'asti utaishia kupiga mtu risasi kwa hasira.

lol. Mie sipigi risasi. Either naoa na mie mume wa pili kwa hisani yake mwenyewe au nasepa nikajipange upya. Inategemea bhange kama mbichi ama changa. Nimpige risasi nikawe Lulu. Akhuuu!
 
Last edited by a moderator:
U r there just to make men happy...and when this comes in a different way, thats where the problems comes!
 
ndio, ni ukichwa ngumu tu unasababisha kupotezea mambo ya aina hiyo.

Ila mie imenishangaza jinsi mwanamke anayohukumiwa.

Mkiiba na mwanamme, watasema, heh hadi huyu mwanamke!

Mkibanjua amri ya 6, itakuwa mwanamke ma..ya huyu!

Mtoto akibeba mimba bado anasoma, utasikia 'mama' yake atueleze atakuwa anajua.

Mtoto wa kiume akiwa kibaka, 'mama' yao aliwadekeza.

Jamani, kwa nini?

si ni hapo nikubali kukaa chini ili nihukumiwe? Labda waniweke kwenye gas chamber, unajua yale mamikanda wanagunga kichwa, kifua, tumbo, kiuno, miguu na mikono? Yaani ikitokea nitakuwa nacheka tu. Ligi ya simba na yanga ndugu!
 
my dear, im a doer of things. Kama ni kitu cha kufanya akilemaa atashangaa kawashiwa indicator manake na mie nna dreams zangu and he wasnt part of them. Kiufupi sikubali kuwa zombiii (source: lara 1)
Shosti wangu alishaambiwa na mama mkwe mwanangu akipotea ni wewe. Nashauri asiposhaurika atajiju! Hujawahi kujipeleka kwenye msiba wa ndugu zake, ukiulizwa unajichekelesha? Ana hiari ya kuongozeka, akigoma im not gonna freak out¡

sasa umeona enh!...............that is what we call women stance. tatizo ni ukilema kwa wanawake wengi. ila kama unajiamini kwamba u can do it no way lazima iwe hivyo tu.

kimsingi huna haja ya kumbeba mtu mgongoni, unashauri kama mtu na akigoma unaachana nae hakuna haja ya kufa kwa presha na kelele za ndugu. tena kama umelivuta bichi basi unawafungia vioo mwanzo mwisho.
 
Very serious....just start to do a research, I can help u usijali! u may start kujiuliza Mungu alimuumba Hawa kwa ajili gani baada ya kumuumba Adam....baada ya hapo uanze kudadavua Man vs Woman in terms of relationship,
 
bila shule kujiamini ni ngumu
bila kuwa na nguvu ya kiuchumi ngumu zaidi kusema lolote.

Wanasema its unfair to put a monkey on someone else's back.

labda kwa mtizamo huo, ila kwani watu wote wanaamini katika maandiko?

Very serious....just start to do a research, I can help u usijali! u may start kujiuliza Mungu alimuumba Hawa kwa ajili gani baada ya kumuumba Adam....baada ya hapo uanze kudadavua Man vs Woman in terms of relationship,
 
bila shule kujiamini ni ngumu
bila kuwa na nguvu ya kiuchumi ngumu zaidi kusema lolote.

Wanasema its unfair to put a monkey on someone else's back.

aisee ma dear sometimes shule wala haikupi confidence, i used to think so but i have come to prove it to be wrong. kuna watu ambao ni shule less but wana confo kisa tu wanajua vitu hasa kutokana na exposure tu na mara nyingi sana watu wa dizain hizi huwa wanaonekana kuwa matured sana na pia hawaoneleki hata chembe.

hela hii ni silaha ndo mana huwa nasemaga money is the weapon of mass destruction, hii kama huna halafu ukakosa confo la exposure basi wewe huna tofauti na kijibwa cha sebulen hhahahaha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom