Hivi ni kweli mpenzi wangu anavyosema au wizi??

kwani ulimkuta bikra? wacha ubwege wewe, mnaibiana wote, pia hacha kimbele mbele cha kukagua simu ya mlupo wako utakufa kwa presha kijana.
<br />
<br />
kweli kaka sitarudiatena ili niishi muda mwingi na heri duniani
 
kwani ukihisi unaibiwa_si na ww uibe,.....ss ww ulitegemea atakujibuje huyo shemeji yetu,...ila bado sijaona kosa la kuanza kudoubt hapo
<br />
<br />
igwe unanishauri nami nitafutewakumuibia au nimpe tumbo kwanza ndo itakua jeuri kweshineee na masela watajua kuna mtu
 
Back
Top Bottom