Hivi ni kweli mahusiano ya kimapenzi ni kupoteza muda?

zanzsco

Senior Member
Aug 21, 2011
161
45
Salaaaaaa wana MMU

Miss you all much much!!!

Narejea hapo juu!!!

Nimekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka kadhaa sasa!!!!
Ila sijaona nilicho faidika na haya mahusiano zaidi ya kurudishwa nyuma na hawa the so called men!!!
Mpaka nimeona sasa bora nipumzike niangalie vitu vitatu tuu katika maisha yangu, nayo ni maombi, kazi na kusaka pesa tuuu!!!!!

tushirikishane uzoefu wako katika haya mahusiano ya kimapenzi!!!!!!!

Mie kwangu imekuwa ni waste of my precious time which i will never be able to recover!!!!!!!
 
Yan hata hujafurahia kugegedwa?

Ukishindwa kufuata ratiba kila kitu kitakupotezea muda na utakuta unashindwa kutelekeza majukumu yako na kulaumu kila kitu.

JIPANGE.
 
Pesa sio kila kitu duniani

Tafuta mpenzi wa maana utakufa na stress

Kutafuta!!! Wote majanga mpaka naona wananitoa kwenye focus ya maisha tuuu!!!!

Nikiwa na pesa watakuja tuu wenyewe tuu uoni jide!!
 
Yan hata hujafurahia kugegedwa?

Ukishindwa kufuata ratiba kila kitu kitakupotezea muda na utakuta unashindwa kutelekeza majukumu yako na kulaumu kila kitu.

JIPANGE.

Hujatendwa wewe!!!!
Watu mpaka wa fail masomo!!!!!
Hujapenda bado ile ya ku risk it all!!
 
Kutafuta!!! Wote majanga mpaka naona wananitoa kwenye focus ya maisha tuuu!!!!

Nikiwa na pesa watakuja tuu wenyewe tuu uoni jide!!
Huyo Jide unayemtolea mfano kamng'ang'ania Gadner kama kupe, japo alikua anapewa vipigo daily

Maisha ni zaidi ya pesa
 
Salaaaaaa wana MMU

Miss you all much much!!!

Narejea hapo juu!!!

Nimekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka kadhaa sasa!!!!
Ila sijaona nilicho faidika na haya mahusiano zaidi ya kurudishwa nyuma na hawa the so called men!!!
Mpaka nimeona sasa bora nipumzike niangalie vitu vitatu tuu katika maisha yangu, nayo ni maombi, kazi na kusaka pesa tuuu!!!!!

tushirikishane uzoefu wako katika haya mahusiano ya kimapenzi!!!!!!!

Mie kwangu imekuwa ni waste of my precious time which i will never be able to recover!!!!!!!

DENYING A FACT DOESN'T CHANGE THE FACT.
YOU CAN MAKE A PROBLEM AS SIMPLE AS POSSIBLE BUT NOT ANY SIMPLER. - zanzsco
 
Last edited by a moderator:
Maisha ni safari ishi upendavyo sababu hakuna maisha zaidi ya haya dada live!!!!
 
Salaaaaaa wana MMU

Miss you all much much!!!

Narejea hapo juu!!!

Nimekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka kadhaa sasa!!!!
Ila sijaona nilicho faidika na haya mahusiano zaidi ya kurudishwa nyuma na hawa the so called men!!!
Mpaka nimeona sasa bora nipumzike niangalie vitu vitatu tuu katika maisha yangu, nayo ni maombi, kazi na kusaka pesa tuuu!!!!!

tushirikishane uzoefu wako katika haya mahusiano ya kimapenzi!!!!!!!

Mie kwangu imekuwa ni waste of my precious time which i will never be able to recover!!!!!!!

Hayatuhusu. This is your own business. Absolutely, private businesss.

Salaaaaaa wana MMU

Miss you all much much!!!

Narejea hapo juu!!!

Nimekuwa katika mahusiano kwa takribani miaka kadhaa sasa!!!!
Ila sijaona nilicho faidika na haya mahusiano zaidi ya kurudishwa nyuma na hawa the so called men!!!
Mpaka nimeona sasa bora nipumzike niangalie vitu vitatu tuu katika maisha yangu, nayo ni maombi, kazi na kusaka pesa tuuu!!!!!

tushirikishane uzoefu wako katika haya mahusiano ya kimapenzi!!!!!!!

Mie kwangu imekuwa ni waste of my precious time which i will never be able to recover!!!!!!!

Hivi ukiwa kwenye uhusiano wa kimapenzi huwa unaacha kufanya shughuli zingine na kusimamisha shughuli za maendeleo na kutafuta pesa?!
 
Mie sioni kama ukiwa kwenye mapenzi kunazuia kutafuta pesa au kufanya maombi, kila kitu kina muda wake. Pangilia ratiba yako vizuri utaenjoy sana.
 
Hujatendwa wewe!!!!
Watu mpaka wa fail masomo!!!!!
Hujapenda bado ile ya ku risk it all!!

Aisee..sijatendwa...sijawahi penda! Hahaha

Ngoja nikwambie mdogo wangu..love means sacrifice! Taking everything...sasa ukishajua hivyo hyo kutendwa na kupenda ni level ya chini sana kufikia pinacle of real love.
 
Back
Top Bottom