Je, mwanamke kama amewahi kutoa mimba kuna uwezekano mkubwa wa kupata mimba?

Butho Mtenzi

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
331
22
Natumaini mpo poa wanaJF,

Mie jamani naomba kuuliza ni kweli Mwanamke kama amewahi kutoa mimba kuna uwezekano mkubwa wa kupata mimba hata kama sio siku za hatari?
 
tumsubirie dokta wa shift aje kujibu hili suali. kwasasa tunaomba utumie kinga mpaka daktari wetu atakapowasili kukupatia jibu. asante kwa ushirikiano
 
Natumaini mpo poa wana Jf mie jamani naomba kuuliza ni kweli Mwanamke kama amewahi kutoa mimba kuna uwezekano mkubwa wa kupata mimba hata kama sio siku za hatari?

Labda sanana ni mvurugiko wa "cycle" yake kwa muda....kwahivyo awemwangalifu wakati wote mpaka pale atakuwa na uhakika kwamba siku zake zipo kama kawaida!
 
hebu kawaulize madadkrtari huko unatuletea sisi ili iweje..........................
 
Back
Top Bottom