Elections 2010 Hivi ni kwa nini wanawake hawapendani?

Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,932
2,832
Wapendwa wana jamii wenzangu, ktk utafiti wangu usio rasmi, nimeona kuwa kiujumla wanawake hawapendani, wanaoneana wivu usio wa lazima, wanatumia muda mwingi kudidimizana, hawatakiani yaliyo mema, hivi hii ni kwa nini? What is not right?
 
Mbona binadamu hatupendani? Rejea genocide ya Rwanda, Darfur, Liberia, Sierra Leone, Chechnya, etc.
 
Those are sporadic events is you compare to this one!
 
genocide are sporadic events, you cant compare to this one!
 
Wapendwa wana jamii wenzangu, ktk utafiti wangu usio rasmi, nimeona kuwa kiujumla wanawake hawapendani, wanaoneana wivu usio wa lazima, wanatumia muda mwingi kudidimizana, hawatakiani yaliyo mema, hivi hii ni kwa nini? What is not right?

Tunaomba udhibitisho wakuonyesha wanawake hawapendani. Mimi ninavyojua karibia wanadamu wote hawapendani hasa wanapoingiliana kwenye maswala nyeti interest
 
Back
Top Bottom