Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

wafipa ni noma zaidi!MWANAMKE kila akiamka anakuta kalowa.....!jamaa ni washirikina hadi kwenye tendo la ndoa:D:D
 
si mpaka akizaliwa ndo watu upumzika kidogo kama miezi au?
Hehehehe! Inategemea n'tu na n'tu! Kuna wengine wanajifungua leo wiki ijayo unasikia "Mume wangu siku hizi umepata mwanamke mwingine?"

Shughuli inaendelea kama kawa!
 
wafipa ni noma zaidi!MWANAMKE kila akiamka anakuta kalowa.....!jamaa ni washirikina hadi kwenye tendo la ndoa:D:D
Hahahaha! Kiongozi nimecheka kwa sauti kubwa sana! Dah! Kwahiyo wale jamaa wanaweza kukutafunia mshikiz bila wewe na mshikiz kujua! Nikipata nauli ntaenda Ufipani........:D:D!!!
 
najua unatania tu hapo kwenye red!halaf wewe kwa matani:D:D
Nachokupendea siku hizi umefaulu kusoma katikati ya mistari.............. Senksi fo zis yuzifuli posti!
 
Hahahaha! Kiongozi nimecheka kwa sauti kubwa sana! Dah! Kwahiyo wale jamaa wanaweza kukutafunia mshikiz bila wewe na mshikiz kujua! Nikipata nauli ntaenda Ufipani........:D:D!!!
hehehehe!wale hawafai kiongozi!kama unabisha uliza wenyeji!adivataizi lao wale ni hatari kwelikweli!
 
Wadau, ukiachilia na jinsi ya kuomba kwenye makabila, wenye ndoa ambao ni mmoja wao ni mchungaji wa kanisa la kiroho inakuwaje???
 
wamasai ni washenzi zaidi!kwanza wamehalalisha KUSHEA hadi wake zao....!wale huwa hawaongei sana.
MFANO HAI:
tukiwa kwenye treni maeneo ya ifakara walipanda wamasai tunakuja mjini.masai na mkewe waliona watu wanajinunulia vyakula njiani wananeemeka.mmasai alimfuata TIITII wa behewa na kumuuliza kama na yeye ANARUHUSIWA KULA CHAKULA!tiitii aliposema ruksa...!jamaa alirudi kwenye kiti na kumsaula mkewe AKAANZA KULA CHAKULA!.......unajua kilitokea nin?
 
Wadau, ukiachilia na jinsi ya kuomba kwenye makabila, wenye ndoa ambao ni mmoja wao ni mchungaji wa kanisa la kiroho inakuwaje???

Roho wa Bwana amenituma kuwa muda huu sasa tutaenda kushiriki tendo takatifu. Ameeeen? Haya mama njoo tuutukuze utukufu wake.
 
Mbona hiyo photo yako (juu kushoto) inakuonyesha mko na jamaa, na ndo hapo tunataka kujua aliombaje!:)
Nina imani kali sana ya kutazamia mambo yajayo.Kwa hiyo ninaishi kwa imani.Hiyo avatar ninaiangalia familia yangu miaka kadhaa ijayo.Ni kama Mungu alivyofanya;
Kwa imani aliumba ulimwengu
kwa imani tulikombolewa..........
Kwa hiyo avatar isikusumbue sana......Nimejibu swali? kama bado usiofu kuniuliza.
 
wamasai ni washenzi zaidi!kwanza wamehalalisha KUSHEA hadi wake zao....!wale huwa hawaongei sana.
MFANO HAI:
tukiwa kwenye treni maeneo ya ifakara walipanda wamasai tunakuja mjini.masai na mkewe waliona watu wanajinunulia vyakula njiani wananeemeka.mmasai alimfuata TIITII wa behewa na kumuuliza kama na yeye ANARUHUSIWA KULA CHAKULA!tiitii aliposema ruksa...!jamaa alirudi kwenye kiti na kumsaula mkewe AKAANZA KULA CHAKULA!.......unajua kilitokea nin?
Mama yeyoo alipata habari yake............ The rest labda mimba, huwezi jua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom