Mbona umechelewa sana kuileta hii? Kwa kweli ni aibu kubwa si tu kwa wapokeaji kwa kuendekeza njaa zao bali hata kwa mtoaji. Nilikuwa namheshimu huyu Prof. as a person nikidhani ni msomi ambaye si gamba kumbe wote ni uozo mtupu!

Mbona wote waslam!
ndio tanzania yetu
Kama hujaona kibaya hapo, Kizuri unachokiona hapo ni kipi? Akili yako itakuwa imejificha kwenye Masaburi yako wewe.Mbona sioni kibaya hapo! au kuna taarifa hujaweka?