Hivi nawezaje kuonana na Da' RussianRoulette?

Zinduna

JF-Expert Member
Nov 6, 2011
2,378
3,379
[h=1]Natakaaa.......natakaa, nimuulize hiviiii, kwa nini Avatar yake kamuweka murembo anavuta naniliu..... inaitwaje vileeee, ah! Nimekumbuka.... Inaitwaaaaa
Shigara Shipoti, lakini mbona imefanana na Shigara Nyota?

Hata hivyo nakufagilia mwayego, unafaa kuwa Dada yangu wa hiyari!


Da' RussianRoulette

[/h]
 
hivi siyo ndiyo RR alikuwa na tatizo siku za karibuni?
kama ndiye mpe muda wa kutulia kwanza.
 
RR nadhani yuko kwenye maombolezo....angekuwepo angekuwa ameshafunguka mambo kadhaa kama ya sigara, kifua wazi na mengineyo. ngoja atakuja kuelezea hapa..avatar yake imebeba ujumbe gani:juggle:
 
Back
Top Bottom