Hivi nani alikopi utamaduni wa mwenziye..angalia hii

wanaheshimu culture
unaesema wadhalilishaji kwani hujui historia ya mababu zako?
 
na katika utamaduni wetu hakuna kukata govi,hii kutahiriwa si katika tamaduni yetu

Sio kweli! utamaduni wa muafrika makabila mengi yanatohara ya kukata govi, ndo maana kuna jando na unyago, ulikuwepo tangu enzi za traditional societies, walitairi kwa ncha za mawe, makabila machache tu hayakufanya hivyo na mengine still bado yapo hapa Tanganyika
 
Back
Top Bottom