hivi nani aliewatia maji Chadema, waislam?au wananchi?au hekima za viongozi wao

muhogomchungu

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
375
3
baada ya kasi ya maandamano kushika kasi ghafla tulisikia kauli kila upande.

waislam wamesema, wakiandamana na sisi tutaandamana wakati huo huo.hili ni tishio kubwa kisiasa na kijamii. hizi kauli zinaweza ikawa labda ndio chanzo
gov, ni maandamano ya uchochezi. lkn hawa hawana nguvu kwani tulisikia majibizano ya kisiasa ndani ya vyama vya siasa
wananchi, aachie Jk atutumikie.baadhi ya wananchi wanawapinga wenzao , inawezekana pia nguvu yao ni ndogo kuzuia
Na hadi leo maandamano yamesitishwa, kwa mfano kigma yalikuwa yafanyike . Iringa na mikoa mengine yamesitishwa.
dar ambayo ilikuwa market target napo zii.
jee waliosababisha haya ni waislam? gov
 
Back
Top Bottom