Hivi mshahara wa askari polisi kwa kima cha chini ni sh ngapi kwa mwezi?

Mara nyingi hasira za mama anapogombana na baba huishia kwa watoto, siku hiyo mtoto anaweza kupata kichapo kinachozidi kosa alilofanya na ndivyo ilivyo hasira za polisi kwa serikali zinaishia kwa raia. Ndio maana unaona polisi wanadai rushwa kwa raia, wanaua raia, wanabambikia kesi raia, wanashiriki ujambazi, wanasumbua madereva barabarani nk . Polisi na wanajeshi hawana njia nyingine ya kudai maslahi yao kwa serikali hata kwa maandamano kwa vile wameshakula kiapo cha utii, njia pekee ni kukimbilia kwenye nguvu wanayofikiria ni dhaifu yaani raia au umma.
Ninachowaambia hawa polisi waonevu waache kabisa tabia hii, umma umeshawachoka na siku moja nguvu ya umma itwatafuna mmoja baada ya mwingine. Kama wana madai ya msingi kwa serikali watumie njia nyingine na sio kuwadhuru raia.
Wewe unachuki binafsi dhidi ya police na wala hauna lolote...zaid ya majungu..
 
Hawatupendi raia na wenyewe kwa wenyewe hawapendani, mimi ndugu yangu akiwa polic simwesabii tena kama ndugu yangu
 
Hivi faikure ina uhusiano gani na uwezo wa mtu kufanya mambo sahihi? Watu wanapata Div 1 lakini ndio hao hao wanaojiuza na kuishia kuvuta bangi mavyuoni, je! Div 1 au 2 walizopata zimewasaidiaje katika kuwaepusha na matatizo? Ina maana mtu akiwa na elimu ya std 7 ndio mla rushwa au muuaji?
Hapo Mkuu.....umenena
 
Hakuna Jeshi ambalo halina wasomi, kila Jeshi linawasomi na waco soma. Mm mwenye drs la saba nilichaguliwa nikiwa Jkt ulefu ndo ulio niponza. Wenzangu walienda kibao ambao walifikisha kigezo cha ulefu. Na polic ata afanye vizuri apendwi daima.
 
Tuache kudhalau Police jaman, wanaume wenyewe wa dar panya rod tu hamtoki mnalala na makopo ndani. Likifutwa je ata kutembea hamnta tembea heshim polic co ote ambao hawana maadili.
 
Pole mtoa mada kwa kujitutumua kuitaja milion moja kama salary ya police. Wengi huwa ni failures but wakatili,wahuni,wajuaji,wanaringa,hawajui sheria, washamba wa technology nk.. Ndio maana wame deserve kupewa kima kidogo.
 
Hivi faikure ina uhusiano gani na uwezo wa mtu kufanya mambo sahihi? Watu wanapata Div 1 lakini ndio hao hao wanaojiuza na kuishia kuvuta bangi mavyuoni, je! Div 1 au 2 walizopata zimewasaidiaje katika kuwaepusha na matatizo? Ina maana mtu akiwa na elimu ya std 7 ndio mla rushwa au muuaji?
Ndg, umetisha.
Napenda watu kama ninyi Mnaoongea ukweli Wajinga wanachukia..
 
Sifa kubwa ya askari polisi wa Tanzania ni ukatili, roho mbaya na kuacha kutumia akili kwani wanangoja kupokera amri tu then wanarusha risasi.Ndiyo maana katika jeshi hilo kigezo cha elimu siyo muhimu, watumikishe utakavyo hawawezi kulalamika, kuishi kwao kwenye vibanda vya mabati kama njiwa.
Muongo mkubwa sana wewe
 
Pole mtoa mada kwa kujitutumua kuitaja milion moja kama salary ya police. Wengi huwa ni failures but wakatili,wahuni,wajuaji,wanaringa,hawajui sheria, washamba wa technology nk.. Ndio maana wame deserve kupewa kima kidogo.
Sijui we unajua sheria IPI kumshinda police....ha ha ha ah ety police washamba Wa techonologia vipi police washawahi kukukosea nini labda maana unaongea pumba tupu..
 
Back
Top Bottom